Nami niulize.Ukitoa pesa yako manunuzi gani umefanya?
Makato ni kwaajili ya kuendesha shughuli za kibenk... Wakutunzie pesa bure?Nami niulize.
- Unatoa fedha yako makato ya nini tena?
- Unatoa mshahara wako benki, ambao tayari umekatwa kodi, ila unakatwa tena unapoutoa, makato ya nini tena?
Mzee unachanganya mambo. Risiti za ATM siyo risiti za EFD ni kama bank slip tu, ikiwa unahitaji kwa ajili ya kumbukumbu zako. Lakini kama hau file kumbukumbu huna haja ya kuchukua risiti. Maana utaitupa kwenye dustbin tu.Naiomba TRA ishughulikie hili, hivi ni kwanini mashine za ATM mfano NMB, CRDB n.k hazitoi risiti pasipo kuuliza? Ilihali akifanya hivyo mfanya biashara kariakoo anakamatwa .
Kwanini risiti za ATM kuzipata kunamakato ilihali kudai risiti ni haki ya mteja?
Kaa ukijua ukichukua risiti wanakata 400/=tshs mi salio huwa naangalia bure kwenye app ila ATM sitoi risitiNaiomba TRA ishughulikie hili, hivi ni kwanini mashine za ATM mfano NMB, CRDB n.k hazitoi risiti pasipo kuuliza? Ilihali akifanya hivyo mfanya biashara kariakoo anakamatwa .
Kwanini risiti za ATM kuzipata kunamakato ilihali kudai risiti ni haki ya mteja?
Gharama za ku operate the ATM. Ukitaka usikatwe nenda ukapange foleni counter..Nami niulize.
- Unatoa fedha yako makato ya nini tena?
Makato ya Kodi ni mapato ya serikali na hayana uhusiano wowote ule na taasisi/bank husika..Unatoa mshahara wako benki, ambao tayari umekatwa kodi, ila unakatwa tena unapoutoa, makato ya nini tena?
Nchi imejaa double taxation kinoma ni wakati sasa hii miamala ya fedha tutunze kumbukumbu tuwe tunapeleka tra kudai return.Nami niulize.
- Unatoa fedha yako makato ya nini tena?
- Unatoa mshahara wako benki, ambao tayari umekatwa kodi, ila unakatwa tena unapoutoa, makato ya nini tena?
Umenunua huduma (service) ya kutoa pesa kwenye ATM ndio maana kuna charge (bank charges).Ukitoa pesa yako manunuzi gani umefanya?
Tena ndo unakatwa kubwa haina mfano, ATM ni 1,500Tshs, wakati kaunta utakatwa 6,000Tshs, yule teller anayekuhudima ana gharama kuliko machine.Gharama za ku operate the ATM. Ukitaka usikatwe nenda ukapange foleni counter..
Ukichukua risiti makato yanaongezekaNaiomba TRA ishughulikie hili, hivi ni kwanini mashine za ATM mfano NMB, CRDB n.k hazitoi risiti pasipo kuuliza? Ilihali akifanya hivyo mfanya biashara kariakoo anakamatwa .
Kwanini risiti za ATM kuzipata kunamakato ilihali kudai risiti ni haki ya mteja?