Kwanini ATM za Mabenki zinauliza kama tunataka Risiti wakati ni haki ya mteje kama kununua bidhaa?

Kwanini ATM za Mabenki zinauliza kama tunataka Risiti wakati ni haki ya mteje kama kununua bidhaa?

Ukichukua risisti utakatwa 3000/= sawa na kutoa kwa wakala Nchi imeoza sana
 
Ukitumia ndugu zako mpesa au kuweka pesa kwenye simu yako unapewa risiti ? Hizo transactions zipo recorded na kuprint receipts unless ni kwa kumbuku zako ni upotevu wa rasimali... As usual watu kulalamikia pasipo na tatizo.., yaani badala ya kulalamika Kodi zako hupati value for money wewe unalalamikia makamuzi hawayi recorded (wakati yanakuwa)

Back
Top Bottom