Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti dada yaoWale wapumbavu wenye vichwa visivyo na visogo kama redio za kichina wanaona dada yao yuko kwenye mpini ndio wanatikisa kibiriti lakini dada yao hawezi kubali hii keki imtoke mikononi kirahisi hivyo, lakini pia sisi Watanganyika wengi tuna chukizwa na utawala wa hovyo uliopo
Una umri gani comrade?Wakuu nauliza tu,,,,
Ishu za muungano imekua moto kuliko ishu yoyote ile kuna nn??
Nini kinachochea hii movement!!
Ule mwiko was Nyerere was mvaa kanzu akiwa namba moja lazima atokee visiwani kama Mzee mwinyi ulivunjwa baada ya watoto was mjini kushika hatamu!!Wakuu nauliza tu,,,,
Ishu za muungano imekua moto kuliko ishu yoyote ile kuna nn??
Nini kinachochea hii movement!!
Wakuu nauliza tu,,,,
Ishu za muungano imekua moto kuliko ishu yoyote ile kuna nn??
Nini kinachochea hii movement!!
Hakuna siri. Ila kuna uroho wa madarakahii suala la muungano siyo Mtanganyika au Mzanzibar anayeridhika nayo, ni vyema serikali ikarekebisha vipengele kwenye huo muungano ili wananchi wa JMT waridhike.
mbona ni easy tu.!, kwani kuna siri gani?
hii inaweza ikawa ndo sababu.Hakuna siri. Ila kuna uroho wa madaraka