Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Hezbullah wanasema vita havisimami mpaa Gaza kuwe salama. Kaongelea ceasefire sababu US, Europe wanataka serekali ya Lebanon wawazuie Hezbullah wasipigane kwa ajili ya Gaza. Walicho jibu ni kwamba vita havisimami mpaa wao wafanye ceasefire kule Gaza. Hezbullah wako wazi tulikuwa tuna support sasa sisi ndio tuko vitani direct na adui.Huu ndio uzuri wa imani,mpaka unakufa nayo.safi sana.
ila jana niliona hesbora wanazungumzia cease fire,ah ah aha
Mmh mbona Rais na mawaziri wa Iran wanapanda na mpaka Lebanon wameenda ? Au mossad wanawaogopa zaidi kuliko ayatollah?Kiongozi huyo mkuu wa Iran anaishi kama yupo karne ya 18. Hapandi ndege wala kutumia magari ya kisasa. Anaogopa Mossad?
Khomeini ni marehemu.Unakaza fuvu ila sababu zimetolewa.
Khomeini ni kiongozi mkuu wa dini huko Iran.
Ana sababu zipi za kuzunguka kama utakavyo wewe!?
Acha bange mkuu.
Sawa,tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini.Hezbullah wanasema vita havisimami mpaa Gaza kuwe salama. Kaongelea ceasefire sababu US, Europe wanataka serekali ya Lebanon wawazuie Hezbullah wasipigane kwa ajili ya Gaza. Walicho jibu ni kwamba vita havisimami mpaa wao wafanye ceasefire kule Gaza. Hezbullah wako wazi tulikuwa tuna support sasa sisi ndio tuko vitani direct na adui.
Hata msikitini unamuona tu huyu.msikitini huwezi muona akiingia au kutoka msikitiniUnamuona kila muda akitoka!?
Una uhakika kama hapandi gari?
Au wewe unamuona kila anapotoka!?
Acha kuitumia inakufyatua akili hanson's choice inakutosha.
Hoja yako nini mkuu?Hata msikitini unamuona tu huyu.msikitini huwezi muona akiingia au kutoka msikitini
Katafute google.Leta hata fotografia basi ili tuondoe ubishi.Kuona ni kuamini.
Sio yeye tuu ambaye yuko karne ya 18 bali ni jamii yote ya dini ile, wao wanaamini kwenye ufugaji wa ndevu na majini🤣Kiongozi huyo mkuu wa Iran anaishi kama yupo karne ya 18. Hapandi ndege wala kutumia magari ya kisasa. Anaogopa Mossad?
Kuna huyu mstaafu wa marekani aliyefikisha miaka 100 majuzi, ata kuongea hawezi; unaweza kujiuliza maisha yana umuhimu ganiHaujawahi kuona au kusikia kikongwe anaogopa kifo?Haujawahi kuona kikongwe anakimbia hatari yenye uelekeo wa kifo?Hakuna asiyeogopa kifo.Hayupo.
Hivi dini yenu hairuhusu kuchangia kwa amani?Unakaza fuvu ila sababu zimetolewa.
Khomeini ni kiongozi mkuu wa dini huko Iran.
Ana sababu zipi za kuzunguka kama utakavyo wewe!?
Acha bange mkuu.
Anakua ndo jeneza lake hilo. MOSSAD watamtungua kabla ndege haijapaaKiongozi huyo mkuu wa Iran anaishi kama yupo karne ya 18. Hapandi ndege wala kutumia magari ya kisasa. Anaogopa Mossad?
Kenger wewe🤣🤣🤣🤣Sio yeye tuu ambaye yuko karne ya 18 bali ni jamii yote ya dini ile, wao wanaamini kwenye ufugaji wa ndevu na majini🤣
Kiongozi huyo mkuu wa Iran anaishi kama yupo karne ya 18. Hapandi ndege wala kutumia magari ya kisasa. Anaogopa Mossad?
Kiongozi huyo mkuu wa Iran anaishi kama yupo karne ya 18. Hapandi ndege wala kutumia magari ya kisasa. Anaogopa Mossad?
Huwa ana panda ungo..huyu anamiliki majini 500 hana haja nandegeKiongozi huyo mkuu wa Iran anaishi kama yupo karne ya 18. Hapandi ndege wala kutumia magari ya kisasa. Anaogopa Mossad?
So unataka tutoe R. I. P in advance? 🤣🤣Khomeini ni marehemu.
Huyo anaitwa Khamenei