Kwanini Ayatollah Khamenei anaogopa kupanda ndege?

Kwanini Ayatollah Khamenei anaogopa kupanda ndege?

Huu ndio uzuri wa imani,mpaka unakufa nayo.safi sana.
ila jana niliona hesbora wanazungumzia cease fire,ah ah aha
Hezbullah wanasema vita havisimami mpaa Gaza kuwe salama. Kaongelea ceasefire sababu US, Europe wanataka serekali ya Lebanon wawazuie Hezbullah wasipigane kwa ajili ya Gaza. Walicho jibu ni kwamba vita havisimami mpaa wao wafanye ceasefire kule Gaza. Hezbullah wako wazi tulikuwa tuna support sasa sisi ndio tuko vitani direct na adui.
 
Mwacheni kidume wa mido est mnataka aende wapi hata akienda nani wakumgusa? Hata hao mazayuni wanajua pa kucheza sio pale ile itakua vita ya nne ya dunia unless wafiche kabisa identity watu wa usalama wasijue kabisa abadani chanzo cha kifo chake, na hilo je jepesi kuficha?
 
Kiongozi huyo mkuu wa Iran anaishi kama yupo karne ya 18. Hapandi ndege wala kutumia magari ya kisasa. Anaogopa Mossad?
Mmh mbona Rais na mawaziri wa Iran wanapanda na mpaka Lebanon wameenda ? Au mossad wanawaogopa zaidi kuliko ayatollah?
 
Huyu Ayatollah akijichanganganya tu amepepanda ndege anapotea huko huko juu yeye pamoja na ndege yake aendelee na usafiri wake wa Ungo na ,,🧹🧹🧹
 
Hezbullah wanasema vita havisimami mpaa Gaza kuwe salama. Kaongelea ceasefire sababu US, Europe wanataka serekali ya Lebanon wawazuie Hezbullah wasipigane kwa ajili ya Gaza. Walicho jibu ni kwamba vita havisimami mpaa wao wafanye ceasefire kule Gaza. Hezbullah wako wazi tulikuwa tuna support sasa sisi ndio tuko vitani direct na adui.
Sawa,tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini.
 
Unamuona kila muda akitoka!?
Una uhakika kama hapandi gari?
Au wewe unamuona kila anapotoka!?

Acha kuitumia inakufyatua akili hanson's choice inakutosha.
Hata msikitini unamuona tu huyu.msikitini huwezi muona akiingia au kutoka msikitini
 
Kiongozi huyo mkuu wa Iran anaishi kama yupo karne ya 18. Hapandi ndege wala kutumia magari ya kisasa. Anaogopa Mossad?
Sio yeye tuu ambaye yuko karne ya 18 bali ni jamii yote ya dini ile, wao wanaamini kwenye ufugaji wa ndevu na majini🤣
 
Haujawahi kuona au kusikia kikongwe anaogopa kifo?Haujawahi kuona kikongwe anakimbia hatari yenye uelekeo wa kifo?Hakuna asiyeogopa kifo.Hayupo.
Kuna huyu mstaafu wa marekani aliyefikisha miaka 100 majuzi, ata kuongea hawezi; unaweza kujiuliza maisha yana umuhimu gani
 
Unakaza fuvu ila sababu zimetolewa.
Khomeini ni kiongozi mkuu wa dini huko Iran.
Ana sababu zipi za kuzunguka kama utakavyo wewe!?
Acha bange mkuu.
Hivi dini yenu hairuhusu kuchangia kwa amani?

Mbona maana ya Uislam ni amani lkn mnafanya kinyime?

Au Waislam wa jf ni maruhani na majini?
 
Kwa Nini Samia amepunguza ziara ya nje kipindi hichi kuelekea 2025.

Viongozi wa Siasa Wana maadui wengi wa ndani kuliko wa nje.

Ni jambo la hatari sana kwa Kiongozi wa Kidini kufa ghafla hasa wakati huu kwenye vuguvugu la vita na Israel.

Ayatollah wa Iran Ndio mkuu wa nchi ya Iran na yeye anaweza kumchagua mtu yoyote anayetaka awe Kiongozi akifa Ghafla inaweza kusababisha shida kwenye success plan ya Iran, kama ilivotokea kwa mtume wao, pia Iran kuna Watu wengi wasioutaka utawala wa Kiislam na wao wanaweza kutumia nafasi ya Ayatollah kutokuwepo na kufanya mapinduzi
 
Mzee Ayatula akiuwawa na Amani ya kudumu inarejea Mashariki ya kati.
 
Back
Top Bottom