sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Hawajaanza leo. Hayo matangazo yapo siku zote hasa katoliki. Naona wameamua kuyafanya makubwa yenye kuonekana na wapita njia.
Kinachoangaliwa ni roho na sio mavazi, inakuwaje tena wanaweka sheria za mavazi ya kuvaa ?Hawajaanza leo. Hayo matangazo yapo siku zote hasa katoliki. Naona wameamua kuyafanya makubwa yenye kuonekana na wapita njia.
Uliwahi kumsikia mchungaji/padri gani akisema hayo?Kinachoangaliwa ni roho na sio mavazi, inakuwaje tena wanaweka sheria za mavazi ya kuvaa ?
Kinachozungumziwa ni watu waliovaa nguo, sio ambao hawajavaa nguoUliwahi kumsikia mchungaji/padri gani akisema hayo?
Ni kweli hata ukisali ukiwa uchi Mungu anakusikiliza, lkn haimaanishi kwamba uende kanisani ukiwa uchi.
Sasa wewe ambacho hujaelewa kwenye hilo bango ni nini? Au basi tu unataka ligi zisizoenda shule?Kinachozungumziwa ni watu waliovaa nguo, sio ambao hawajavaa nguo
Hapo lanisani wanatakiwa wavae nguo za heshima, wakitoka hapo wanao uhuru wa kuvaa vyovyote hata vipensi kama wakipenda na hakuna wa kuzuia.Kinachozungumziwa ni watu waliovaa nguo, sio ambao hawajavaa nguo
Hata kimini ni nguo
Sasa wewe ambacho hujaelewa kwenye hilo bango ni nini? Au basi tu unataka ligi zisizoenda shule?
Hoja zake hafifuHuyu anatafuta ligi la mabishano hana lolote lile
kuna hii fasheni imejizolea umaarufu makanisani kuvaa magauni / sketi zinachoresha makalio, mapaja na hips, haya ni mavazi ya heshima ?Hapo lanisani wanatakiwa wavae nguo za heshima, wakitoka hapo wanao uhuru wa kuvaa vyovyote hata vipensi kama wakipenda na hakuna wa kuzuia.
Kila eneo lina taratibu zake.
kuna hii fasheni imejizolea umaarufu makanisani kuvaa magauni / sjeti zinachoresha makalio, mapaja na hips, haya ni mavazi ya heshima ?
View attachment 2832956
Au tukuchangie nauli ukalisemee hili huko Vaticannadhani hili inabidi waumini watume barua kwenda Vatican maana ma askofu wameanza kuingilia mambo yasiyowahusu
Hiyo nguo haina tatizo. Hata akiingia kanisa lolote hakuna atakae mshangaa wala kumrudisha.kuna hii fasheni imejizolea umaarufu makanisani kuvaa magauni / sjeti zinachoresha makalio, mapaja na hips, haya ni mavazi ya heshima ?
View attachment 2832956
Yaani wanawake waje na mavazi ya kutamanisha wanaume - kama yale ya kulalia, mgongo wazi, maziwa nje nje, vimini, hiyo Amri ya 9 ya Mungu haitavunjwa kweli?Huko ni kukosa mafunzo sahihi ya sheria ya mavazi ndio maana wanalazimika kuweka matangazo juu ya mavazi, sisi wakristo inajulikana wazi kwamba kinachoangaliwa ni roho sio mavazi, kuna haja ipi ya kuweka haya mabandgo, uliona wapi misikitini wanaweka matangazo ya aina hiyo?
Nijuavyo kinachoangaliwa ni roho na sio mavazi, haya makatazo yalishapitwa na muda ni mambo ya agano la kale lililokataza kula wanyama kama mbwa na nguruwe, kunywa pombe, kuvaa mavazi yanyositiri, kukataza kuchonga nywele na ndevu, n.k.
Pombe hizi ambazo wachungaji na mapadre wanakunywa kwa uhuru bila kificho ?Sigara pombe matukano mambo yasyofaa yanamwondoa Roho mtakatifu ndan yako kwakua hayo ni uchafu
kila kitu kwa kiasiPombe hizi ambazo wachungaji na mapadre wanakunywa kwa uhuru bila kificho ?