Kwanini baadhi ya vitabu vimetolewa katika biblia?

Kwanini baadhi ya vitabu vimetolewa katika biblia?

Kwani ni lini vilikuwemo kwenye bibilia? Wewe ulipo zaliwa bibilia uliyoikuta si ndiyo hii hii au inamabadiliko? Mambo mengine ya kusikia yanachosha akili
Sio hivyo mkuu kwa mfano huwezi jiuliza kwanini madhehebu mengine yana vitabu vichache ukifananisha na madhehebu mengine?
Kwa mfano protestant wana vitabu 66, Roman Catholic wana vitabu 73, orthodox 79.
 
Na ukisoma hiyo bible inasema kuna waandishi walikuwa wanafanya upotoshaji katika maandiko yao, hivyo swala la kupotosha kupitia maandiko halijaanza leo wala jana. Na huu upotoshaji ndio sababu mojawapo ya baadhi ya vitabu kuwachwa maana vinapingana na msingi wa imani ya ukristo, mfano Qur'an inasema Yesu hakusulubiwa wala hakufa, wakati msingi wa imani ya ukristo unajengwa katika kusulubiwa na kufariki msalabani kwa Yesu wa Nazareth kwa hiyo ilo fundisho la quaran ni ubatili kwa mkristo, lakini ujiulize tuseme kweli kuna vitabu vipo vina mafundisho kama imani ya Kristo inavyosema je ni rahisi kuvi compile na kuwa kitabu kimoja hataka vipo labda elfu moja, hapana na ndio maana vipo hivyo lakini vineeleza kwa upana wake imani ya ukristo.

Nimalizie kwa kusema tu imani ya kikristo ipo wazi haina cha kuficha nai kwamba vitabu vingine vinakosa sifa au vigezo ya kutumia kama mafundisho kuhusu ukristo.

Naomba unipe kifungu kwenye bible kinachosapoti hayo maneno hapo juu.

NB: Kulingana na Yohane 21:25 naweza kusapoti maneno yako ila hapa anazungumzia habari za Yesu tuu kwamba alifanya mambo mengi sana kiasi kwamba kama yangeandikwa yote basi yasingejaa huu ulimwengu.

Lakini ndugu yangu vipi agano la kale mbona sijaona kifungu kinachozungumzia hili kwa sababu najua waandishi walikua wanaongozwa na MUNGU kuandika. Sasa MUNGU anaweza kufanya kazi isiyo na maana kwamba vitabu vingine vilivyokua vinaandikwa viachwe?
 
Sawa mkuu kinachonikera ni jinsi watu na mashirika mbalimbali yanavyozidi kutumia lugha yao kwenye kuandika biblia khaaa ni kero sana kwani wanapoteza original content ya bible.
Kwa mfano kwenye huo uzi utaona kila toleo la biblia lugha inatofautiana.
Mungu aliweka lugha mbalimbali duniani, na huwasiliana na watu wake kwa lugha zao. Hivyo ni muhimu pia na biblia ziwepo ktk lugha ambayo itaeleweka zaidi na mhusika?

Waandishi wa biblia ni wengi sana, hivyo kanisa liliona ni vyema kuchukua vitabu vichache ambavyo mkristo/binadamu akivitumia na kuishi maandiko anaweza kuwa mtu mwema na kufika mbingun kwa Baba, siku zake za kuishi dunian zikitimia.

Mwisho Yahane Mbatizaji hajaandika kitabu chochote kama ulivyosema awali kuwa ndie kaandika Ufunuo.
 
Tunataka habari zote za biblia mkuu, yamezungumziwa mambo mengi sana muhimu ambayo yangetusaidia.
Kuna watu wanataka shahidi mbalimbali iki kukamilisha habari sasa hivo vitabu vinavyomiss vinasababisha mambo kutokukamilika.

Unasema Yohane Mbatizaji hajaandika kitabu kwani injli ya Yohane kandika nani? na kitabu cha Ufuno kaandika nani?
 
Bible lands museum-Israel na vatican museums-vatican.
na kwa kutusaidia unaweza kutuwekea hata kipande/papyrus iliyoandikwa na marko pamoja na jina la mwandishi(nikimaanisha jina la marko)
sababu kwenye source yako hakuna kitu kama hicho
 
Ambacho nimeona mimi ni kuwa wengi wanaobishana kuhusu Biblia kuwa na vitabu pungufu, ni watu ambao sio watu wa kusoma na kutafakari Neno la Mungu na cha zaid ni agenda zao flani flani ambazo either hazipo kwenye Biblia sasa ndo wanazitafutia uhalali kupitia maandiko mengine mengine.
Ninachoweza kukisema mimi ni kwamba Biblia hii tunayosoma pamoja na kutokuwepo kwa baadhi ya vitabu kama mnavyosema ila ina ukamilifu mwingi sana na inatosha sana kumpa mtu uelewa kuhusu huyu Mungu tunaye mwabudu.. Wasomaji wa Biblia wanalijua hili
[emoji848][emoji848][emoji848] [emoji144][emoji144][emoji144] sidhan Kama ni kamili ilihali Kuna mambo muhimu wametoa.
 
Tunataka habari zote za biblia mkuu, yamezungumziwa mambo mengi sana muhimu ambayo yangetusaidia.
Kuna watu wanataka shahidi mbalimbali iki kukamilisha habari sasa hivo vitabu vinavyomiss vinasababisha mambo kutokukamilika.

Unasema Yohane Mbatizaji hajaandika kitabu kwani injli ya Yohane kandika nani? na kitabu cha Ufuno kaandika nani?
Injili ya Yohane, imeandikwa na yule mwanafunzi wa Yesu aliyetwa Yohane, ndie aliyekuwa mdogo kuliko wote. Na katika wanafunzi wa Yesu , peke yake ndie aliyekufa kwa uzee. Wengine woote waliuawa kwa mateso makali sana. Ndio mwandishi wa Injili na Ufunuo.

Yohane mbatizaji mauti yalimkuta Yesu akiwa bado hai. But ukisoma injili ya Yohane inahadithia maisha ya Yesu kuanzia kuzaliwa mpaka kifo chake. Kumbuka wakati wa Kifo cha Yohane Mbatizaji, Yesu alihuzinika sana alipopata taarifa zake. Haiwezekani akawa amaanedika habari za Yesu. Yohane Mwinjilisti ameandika habari za maisha ya Yesu kuliko mwandisho yeyote, hii ni kwasababu ndie aliyekuwa karibu zaidi na kipenzi cha Yesu.

Hivi vitabu vichache(kama unavyodai) tulivyonavyo mkuu, hakuna aliyewahi kuvisoma vyote vikaisha, unataka vingine vya nini mkuu, ingali hivi tu hata robo hujasoma?
 
Nashukuru sana mkuu kwa kunijuza nilikua silijui hili la Yohane.
Kuhusu vitabu nataka nikuambie tuu mkuu binadamu tonatofautiana! Uwezo wako unapoishia kwa mwingine ndipo unapoanzia kwa hiyo usishangae mu kukwambia anaelewa vifungu vyote vya biblia na bado anatafuta vitabu ambavyo havikua compiled kwenye biblia zetu hizi.
Pia usishangae keshapita kote huku kuanzia biblia tulizonazo vitabu ambavyo havikua compiled halafu anasaka tena evidence kutoka makumbusho, taarifa mbalimbali za kihistoria n.k
Akitoka hapo ndipo anakua kaiva sasa na anakua na imani na usomaji wake.

Kwa kifupi tuu mkuu biblia ni kitabu kidogo sana wapo watu waliosoma vitabu vingi sana na ndio party ya maisha yao.
 
Paulo hakuwa mwanafalsafa..Alikuwa kasomea sheria katika vyuo vya kiyahudi ndani ya Israel..Na mpaka anatoka nje ya Israel kwenda huko ugiriki na kwingineko tayari alishakuwa mtume,,akiifanya kazi ya utume.Zaidi sana mahali alipoenda akiwa Pharisayo aliepractise sheria kwa kuuwa wakristo kabla hajawa mtume ni Syria
ndo maana nikaomba kurekebishwa hapo, ila alikiwa ni mwanafunzi wa mwanafalsafa mmoja mkubwa enzi hizo kwa mujibu wa vyanzo vyangu.
 
Hilo la Yesu kumuua mtoto, alirusha jiwe juu kwa bahati mbaya likatua utosini mwa mtoto akafa . Swala la Maria Magdalena lipo wazi . Yesu alikuwa mwanaume wa enzi hizo
 
Waandishi wa biblia ni wengi sana, hivyo kanisa liliona ni vyema kuchukua vitabu vichache ambavyo mkristo/binadamu akivitumia na kuishi maandiko anaweza kuwa mtu mwema na kufika mbingun kwa Baba, siku zake za kuishi dunian zikitimia.

.
Mkuu hapo nilipobold unaweza ukatusaidia ni kanisa gani unaongelea??? Maana Catholic ana vitabu 73 protestant 66 Tawahedo Orthodox 84 bado Eastern Orthodox 68 n.k je ni lipi unaongelea?? Na kama kanisa liliona vyema je ni kwanini kila kanisa lina Biblia yake??

Ni hayo tu
 
Injili ya Yohane, imeandikwa na yule mwanafunzi wa Yesu aliyetwa Yohane,
Unaweza kutupa source kuwa injili ya Yohana iliandikwa na Yohanne mwanafunzi wa Yesu mana navyojua mpaka leo mwandishi wa kitabu cha Yohanna hafahamiki kabisa labda kama wwe ndio wa kwanza kumtambua utakuwa umetusaidia sana.
 
Naomba unipe kifungu kwenye bible kinachosapoti hayo maneno hapo juu.

NB: Kulingana na Yohane 21:25 naweza kusapoti maneno yako ila hapa anazungumzia habari za Yesu tuu kwamba alifanya mambo mengi sana kiasi kwamba kama yangeandikwa yote basi yasingejaa huu ulimwengu.

Lakini ndugu yangu vipi agano la kale mbona sijaona kifungu kinachozungumzia hili kwa sababu najua waandishi walikua wanaongozwa na MUNGU kuandika. Sasa MUNGU anaweza kufanya kazi isiyo na maana kwamba vitabu vingine vilivyokua vinaandikwa viachwe?
Umaposema vimepunguza maana yake kuna idadi ambayo inafahamika,.sasa hivyo vitabu vilikuwa vingapi kabla ya kupunguzwa? Labda tuanzie hapo,
 
Umaposema vimepunguza maana yake kuna idadi ambayo inafahamika,.sasa hivyo vitabu vilikuwa vingapi kabla ya kupunguzwa? Labda tuanzie hapo,
Kwa mfano mdogo tu angalia idadi ya vitabu vinavyotumiwa na madhehebu ya protestant, roman catholic, orthodox na walokole.
 
Kwa mfano mdogo tu angalia idadi ya vitabu vinavyotumiwa na madhehebu ya protestant, roman catholic, orthodox na walokole.
Sijakataa uwepo wa tofauti wa idadi ya vitabu katika mathehebu, lakini je kabla ya hapo idadi harisi ni ipi mpaka mtu anasema imepunguzwa?
 
Biblia sio vitabu vya Mungu bali kuna maneno machache sana na mafundisho ya Mungu yaliobakia.

Biashara tu.
 
Back
Top Bottom