Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivyo idadi yake ni ngapi, je hivyo vilivyo chwa mafundisho yake hayakizani na vitabu vilivyopo.Idadi halisi inaweza patikana kwa kuangalia vitabu ambavyo havikuwa compiled kwenye biblia.
Hapo itabidi nivitafute sasa nije na hitimisho hapa.Hivyo idadi yake ni ngapi, je hivyo vilivyo chwa mafundisho yake hayakizani na vitabu vilivyopo.
Kuna vitabu vinaruhusu kuombea wafu, wakati huo huo vingine vinapinga suala la kuombea wafu, infact vingine vimeachwa kutokana na utata kama huo.Hapo itabidi nivitafute sasa nije na hitimisho hapa.
Kuhusu kukinzana sidhani kwani vimeandikwa chini ya muongozo wa MUNGU na sidhani kama yupo wa kukosoa kukosoa kazi MUNGU.
Pengine unataka uniambie havijawekwa kwa sababu vinakinzana na vitabu vilivyopo mimi ninakataa kwa sababu havijaandikwa kama vitabu vingine vilivyoandikwa na inadamu.
Halafu kuna mstari unaonya kabisa lisipunguzwe neon lake kwenye kitabu chake kitakatifu sasa wewe binadamu unaanze kutoa vitabu vyake?
Viweke hapa mkuu tuvichaambue.Kuna vitabu vinaruhusu kuombea wafu, wakati huo huo vingine vinapinga suala la kuombea wafu, infact vingine vimeachwa kutokana na utata kama huo.
Mbona vinatajwa humu sana, kama bible ya waroma inatofauti na protestant, sababu ni hiyo.Viweke hapa mkuu tuvichaambue.
Sidhani kama viliandikwa chini ya uweza wa MUNGU labda ni kazi feki za binadamu.
Unaweza dhibitisha?
Jibu hoja ya mleta mada. Inaonesha ume kopi na kupestiOkay thibitisha sasa.
Biblia sio vitabu vya Mungu bali kuna maneno machache sana na mafundisho ya Mungu yaliobakia.
Biashara tu.
Thibitisha hoja yako hii.
Wacha uongo wewe umetokea wapi? Duniani au kuzimu hivi humu ndani kuna watu kamili na watu wa kuzimu, hayo maneno yako siyo sahihi kwa sababu Mungu tunaongea naye kupitia maandiko,sasa km hayamuhusu atajuaje ili asidanganyweKikubwa mkuu Mambo ya biblia na madhehebu hayakusaidii kitu wewe pambana kumtafuta mungu kama kweli yupo
This is so new to me.Hilo la Yesu kumuua mtoto, alirusha jiwe juu kwa bahati mbaya likatua utosini mwa mtoto akafa . Swala la Maria Magdalena lipo wazi . Yesu alikuwa mwanaume wa enzi hizo
Hivyo vingine sivijui.Biblia ni kitabu kinachojumuisha vitabu mbalimbali vilivyoandikwa na watu mbalimbali katika nyakati tofauti na sehemu tofauti.
Biblia ni mkusanyiko wa hivi vitabu ambavyo viliandikwa na waandishi mbalimbali ksha vikapangwa katika mtiririko unaofaa kuanzia miaka ya mwanzo kabisa hadi ya mwisho (Mwanzo hadi ufunuo).
Kitabu cha kwanza kwenye biblia ni Mwanzo ambacho kinaelezea uumbaji wa hii dunia, binadamu wa kwanza na habari za awali kabisa za dunia na ulimwengu. Kitabu cha mwisho ni Ufunuo Kilichoandikwa na Yohane Mbatizaji.
Hivi vitabu viliandikwa katika lugha ya kiebrania eneo la mashariki ya kati na sehemu za kaskazini mwa Africa (Misri, Ethiopia, Libya n.k) kwa sababu ndipo MUNGU alipopachagua ili neno na habari zake zisambae sehemu nyingine za ulimwengu.
Biblia imeanza kutumika rasmi baada ya kuondoka kwa Yes Kristo ila maandiko yalikua yamehifadhiwa hata kabla ya Kristo kuja duniani.
Shida yangu ni hii
1/Kwanini vitabu kadhaa vitolewe kwenye biblia kwa misingi ya mawazo ya watu? Kama maandiko yanaonya kuongeza au kupunguza neno la MUNGU kwanini binadamu wanatoa hivyo vitabu?
2/Kitabu cha Enoch kimeondolewa, vitabu vya deuteron kanoni vinaumiwa na Roman Catholic ila Protestant na makanisa mengine hayavitumii! Injili ya Thomas, Bikira Maria, Injili ya Yuda, Injili ya Barnabas, Injili ya Eva na vitabu vingine vingi?
Ni kwaninihivi vitabu vitolewe wahusika hawakuona wanakwenda kinyume na maandiko ya MUNGU?
Kwahiyo waislamu ndio wanalazimisha uislamu ndani ya biblia na sio wakristo ndio wanalazimisha ukristo ndani ya biblia? Hebu nisaidie hapo mkuu.Hivyo vingine sivijui.
Kuna kitabu umukiita injili ya Barnaba....hiki ni kitabu cha kipropaganda cha kiislamu! Kimetungwa na waislamu. Nimewahi kukisoma kimejaa vituko na vichekesho kama kawaida ya waislam kulazimisha uislam ndani ya Biblia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nza kabisa niseme tu hata hivyo vitabu visingetolewa, Usingeweza kumjua Mungu kwa ukamilifu wake, Sisi tunamjua kwa kupapasapapasa tu; Hivyo excuse ya kwamba huwezi kumjua MungUtamjua vipi mungu wa kweli bila kusoma maandiko?
Mkuu ni kinyume kabisa na MUNGU alivyopanga.