Kwanini baadhi ya vitabu vimetolewa katika biblia?

Sijakataa uwepo wa tofauti wa idadi ya vitabu katika mathehebu, lakini je kabla ya hapo idadi harisi ni ipi mpaka mtu anasema imepunguzwa?
Idadi halisi inaweza patikana kwa kuangalia vitabu ambavyo havikuwa compiled kwenye biblia.
 
Idadi halisi inaweza patikana kwa kuangalia vitabu ambavyo havikuwa compiled kwenye biblia.
Hivyo idadi yake ni ngapi, je hivyo vilivyo chwa mafundisho yake hayakizani na vitabu vilivyopo.
 
Hivyo idadi yake ni ngapi, je hivyo vilivyo chwa mafundisho yake hayakizani na vitabu vilivyopo.
Hapo itabidi nivitafute sasa nije na hitimisho hapa.
Kuhusu kukinzana sidhani kwani vimeandikwa chini ya muongozo wa MUNGU na sidhani kama yupo wa kukosoa kukosoa kazi MUNGU.
Pengine unataka uniambie havijawekwa kwa sababu vinakinzana na vitabu vilivyopo mimi ninakataa kwa sababu havijaandikwa kama vitabu vingine vilivyoandikwa na inadamu.

Halafu kuna mstari unaonya kabisa lisipunguzwe neon lake kwenye kitabu chake kitakatifu sasa wewe binadamu unaanze kutoa vitabu vyake?
 
Kuna vitabu vinaruhusu kuombea wafu, wakati huo huo vingine vinapinga suala la kuombea wafu, infact vingine vimeachwa kutokana na utata kama huo.
 
Kuna vitabu vinaruhusu kuombea wafu, wakati huo huo vingine vinapinga suala la kuombea wafu, infact vingine vimeachwa kutokana na utata kama huo.
Viweke hapa mkuu tuvichaambue.
Sidhani kama viliandikwa chini ya uweza wa MUNGU labda ni kazi feki za binadamu.
 
Viweke hapa mkuu tuvichaambue.
Sidhani kama viliandikwa chini ya uweza wa MUNGU labda ni kazi feki za binadamu.
Mbona vinatajwa humu sana, kama bible ya waroma inatofauti na protestant, sababu ni hiyo.
 
Kikubwa mkuu Mambo ya biblia na madhehebu hayakusaidii kitu wewe pambana kumtafuta mungu kama kweli yupo
Wacha uongo wewe umetokea wapi? Duniani au kuzimu hivi humu ndani kuna watu kamili na watu wa kuzimu, hayo maneno yako siyo sahihi kwa sababu Mungu tunaongea naye kupitia maandiko,sasa km hayamuhusu atajuaje ili asidanganywe
 
Hilo la Yesu kumuua mtoto, alirusha jiwe juu kwa bahati mbaya likatua utosini mwa mtoto akafa . Swala la Maria Magdalena lipo wazi . Yesu alikuwa mwanaume wa enzi hizo
This is so new to me.
 
Hivyo vingine sivijui.

Kuna kitabu umukiita injili ya Barnaba....hiki ni kitabu cha kipropaganda cha kiislamu! Kimetungwa na waislamu. Nimewahi kukisoma kimejaa vituko na vichekesho kama kawaida ya waislam kulazimisha uislam ndani ya Biblia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo waislamu ndio wanalazimisha uislamu ndani ya biblia na sio wakristo ndio wanalazimisha ukristo ndani ya biblia? Hebu nisaidie hapo mkuu.
 
Utamjua vipi mungu wa kweli bila kusoma maandiko?
Kwa nza kabisa niseme tu hata hivyo vitabu visingetolewa, Usingeweza kumjua Mungu kwa ukamilifu wake, Sisi tunamjua kwa kupapasapapasa tu; Hivyo excuse ya kwamba huwezi kumjua Mung
Mkuu hata hivyo vitabu vingewekwa; Bado waandishi walisema kwamba Waliandika kwa uchache tu; kama yangeandikwa yote/Kila kitu basi Hata dunia isingetosha.

Ila mimi nakushauri tu, kwamba hao waliopunguza hao wataulizwa wenyewe; Wewe tumia hicho kilichopo kwan kuna shida gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…