sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
katika mijadala ya hapa na pale inayohusu maendeleo hata humu ndani jamiiforums huwa inakuwepo mijadala ya wakinga kuwa moja ya kabila linalojitahidi kwenye anga za biashara licha ya kuwa kabila dogo kwa idadi yao ndogo.
Sasa kunakuwaga na tabia flani hivi unakuta mjadala unavyoendelea pakiwa na mbena pembeni (sio wote) anaanza kuchangia kwamba na wao wabena wanakuja kwa spidi kwasababu wao na wakinga wilaya zao zimepakana kwa hio ni nao wanakuja kasi.
Naombeni mnisahishe kama ntakuwa nimekosea lakini kwa jinsi nionavyo mimi katika ramani ya biashara hapa Tanzania naona hata Mzaramo na Mkurya wana nafuu.
Nachowaza tu ni kwamba kwanini kwa sasa nguvu kubwa sana inatumika na wabena kulazimisha ukaribu na wakinga ? binafsi navyojua wabena ndugu zao ni wahehe maana hata luga hazijapishana sana.
Kwa wabena (na kwa wahehe) nacho wakubali ni kwamba wana wanawake ambao wapo kwenye chati za juu linapokuja swala la kupata wife material, ila huku kwenye biashara bado sana kiukweli