Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Nilishakuja kukulia shida kwamba sina hela jamiiforum kuna watoto wengiKijana tafuta hela acha kujifariji na misamiati,hii Dunia ya leo inahitaji fedha.
Elewa nilichoandika, "build your frame" , once you have built your frame, you will never be shaken by women.Ukiwa na hela watakuja wengi...kwasababu ya hiyo hela yako hawatakuwa wanakupenda...
labda umwambie atafute hela akizipata aachane na mambo ya wanawake...ila kama ata deal na wanawak...trust me yaan akiwa na hela ndo atajuta zaidi kuliko mwanzo....kwasababu atafikiria nina kila kitu halafu mbona wanazingua tena
Unajua mapenzi au unaongea kirahisi rahisi watu na hela zao wanajiua kutokana na mapenziElewa nilichoandika, "build your frame" , once you have built your frame, you will never be shaken by women.
Acha hizo bhana,muwe mnatutongoza tu kukubaliwa au kukataliwa hayo ni matokeo tuElewa nilichoandika, "build your frame" , once you have built your frame, you will never be shaken by women.
Umevamia kuquote comment yangu kumbe huna uwezo hata wa kujadili jambo,halafu kua na adabu,mimi sio Dogo,Nilishakuja kukulia shida kwamba sina hela jamiiforum kuna watoto wengi
Dogo mimi hela ninazo sijisifii kwakukusaidia
Akili za wanawake ni fupi sanaHeri wewe ulijibiwa kikatili mimi nilikuwa nachatinae kiswahili nilipomtongoza tu akaanza kujibu kwa kiarabu!! Niliachwa njia panda nisijue jibu lake!.
Siku ya siku akaja akapata shida ya hela si akanitafuta boya mimi hapo alikuwa anaandika kiswahili kizuri!,nami nikaanza mjibu kwa kijerumani! Tulionyeshana unyama kwenye lugha!
Dogo sijakuja kukulia shida ungekua mtu mzima usingeniambia nitafute hela huku hunijui hio ni ishara wewe ni mtoto na huna hekima, busara na adabuUmevamia kuquote comment yangu kumbe huna uwezo hata wa kujadili jambo,halafu kua na adabu,mimi sio Dogo,
Tafuta hela upunguze makasiriko kwa watu usiowajua mitandaoni.
Binti tafuta hela acha ngonjera na taarabu za kimama.Dogo sijakuja kukulia shida ungekua mtu mzima usingeniambia nitafute hela huku hunijui hio ni ishara wewe ni mtoto na huna hekima, busara na adabu
Ila ukikua utaacha
Mkuu mimi siwez kukutukana sababu sijafundishwa matusi na hata sikujui yaani nimtukane mtu aliyejificha kwenye jina fake si uwendawazimu ndo maana nikakuambia ukikua utaachaBinti tafuta hela acha ngonjera na taarabu za kimama.
Hata kama una pesa kama Bakhresa na upo weak as a man yaani ni Dick Head wanawake na mapenzi vitakuyumbisha tu. Mwanaume unatakiwa kuwa strong. Tatizo lenu vijana wengi ni Dick-Driven ndio maana mnalilialia sana. Kuwa na Pesa na kuwa ngangali dhidi ya wanawake ni vitu viwili tofauti, unaweza kuwa na pesa na bado ukawa legelege kwa wanawake so lazima watakuyumbisha tu. Ndio maana tunasema unapotafuta pesa na kuzipata zitumie pesa zako kubuild your frame strong na sio kutafuta wanawake. Unframed man is a weak man!Unajua mapenzi au unaongea kirahisi rahisi watu na hela zao wanajiua kutokana na mapenzi
yanawatesa vibaya mno hawana hata hamu nayo
Sina shida na nyie, nina shida na wanaume wenzangu ambao ni "weak". Wanapewa majibu wanayostahili wanakuja kulialia hapa. My main point is utatongoza utakubaliwa au utakataliwa na jibu utapata kutokana na wajihi wako.Acha hizo bhana,muwe mnatutongoza tu kukubaliwa au kukataliwa hayo ni matokeo tu
Lini nilishakuja kulia juu ya mapenzi wa siku hizi mnashida sana mbona unanlisha manenoHata kama una pesa kama Bakhresa na upo weak as a man yaani ni Dick Head wanawake na mapenzi vitakuyumbisha tu. Mwanaume unatakiwa kuwa strong. Tatizo lenu vijana wengi ni Dick-Driven ndio maana mnalilialia sana. Kuwa na Pesa na kuwa ngangali dhidi ya wanawake ninvitu viwili tofauti, unaweza kuwa na pesa na bado ukawa legelege kwa wanawake so lazima watakuyumbisha tu. Ndio maana tunasema unapotafuta pesa na kuzipata zitumie pesa zako kubuild your frame strong na sio kutafuta wanawake. Unframed man is a weak man!
Yeah, sure 😃Sina shida na nyie, nina shida na wanaume wenzangu ambao ni "weak". Wanapewa majibu wanayostahili wanakuja kulialia hapa. My main point is utatongoza utakubaliwa au utakataliwa na jibu utapata kutokana na wajihi wako.
Hakuna aliyekutukana ila Binti nakushauri utafute hela ili upunguze makasiriko mitandaoni kwa watu usiowajua na jifundishe kuheshimu watu na sio kuvamia kumquote mtu na akili zako hizo za darasa la pili unusu.Mkuu mimi siwez kukutukana sababu sijafundishwa matusi ndo maana nikakuambia ukikua utaacha
Uandishi wako tu unaonenakana wewe ni "Simp". Kwanza sifa ya mwanaume hata ukitoswa na mwanamke hutakiwi kulalamika. Nasisitiza soma nilichoandika uelewe, dont be a Simp and Dick-Driven.Lini nilishakuja kulia juu ya mapenzi wa siku hizi mnashida sana mbona unanlisha maneno
Mim nilishapitia hali zote kuwa wa kawaida na hela kwa hiyo naongea kutoka na experience, ela haikupi gurantee kwenye maisha
We ndo ujifunze kuheshimu watu unawaambia watafute hela huku huwajui, yaan tanzania mtu hakujui lakin ana act kama anakujuaHakuna aliyekutukana ila Binti nakushauri utafute hela ili upunguze makasiriko mitandaoni kwa watu usiowajua na jifundishe kuheshimu watu na sio kuvamia kumquote mtu na akili zako hizo za darasa la pili unusu.