Kwanini baadhi ya wadada ukiwatongoza, wanajibu kikatili bila sababu?

Kwanini baadhi ya wadada ukiwatongoza, wanajibu kikatili bila sababu?

Maandishi yako yanawakilisha jinsi ulivyo,
Empty set,wazazi wako wana hasara kubwa sana.
Siunaona mambo ya wazazi yanatoka wapi mim sikujui kamwe sitakaa niwatukane wazazi wako nawaheshimu sana, hata wewe nakuheshimu na naheshimu kile unachopost sababu kwenye maisha hatuwez fanana kwenye fikra

Ndo maana mpaka sahivi siwez kukuita majina ya ajabu ajabu sababu nakuheshimu na hii ni kutokans na ukweli kwamba ukiwa mtu mzima unakua na busara
 
Una akili nzito sana wewe aisee,kusema wazazi wako wana hasara kubwa sana juu yako ndio kuwatukana? Binti punguza ujinga basi,nimewapa pole kwa kua na mtoto kama wewe asiye na uwezo wa kufikiri zaidi ya kubwabwaja hovyo.
Aliyekwambia kua nahitaji heshima yako ni nani? acha kujipendekeza wewe.
 
Mim sina uwezo wa kufikiri lakin sijawahi kuja hata kukulia shida ya kifikra, narudia tena usimdharau mtu usiyemjua huku tunatumia id fake changamoto ya jamiiforum kila mtu anavimba
 
Utakuta unamu-approach mdada kistaarabu uanzishe naye mahusiano ya kimapenzi, ambayo pengine yataishia kwenye mdoa, sometimes unachukua namba yake unachat nae kistaarabu, aloo majibu anayojibu unajiuliza sababu ya kukujibu hivyo huoni, useme labda alikukataa halafu unaendelea kumsumbua hakuna, useme umemwambia kitu cha kumtusi au kumdhalilisha, hamna.. useme huyo mdada ni slay queen mdangaji, ukimuangalia sio tabia zake hata hafananii, kimahusiano useme kuna wanaume waliwahi kumuumiza, unakuta hata ex hana,

Ukimwambia mwanaume usiemtaka kuwa "Nashukuru kwa kunipenda, ila kiukweli sihitaji mahusiano ya kimapenzi na wewe, samahani kama nimekukwaza" halafu, akiendelea kukusumbua ndo sasa uchukue hatua Ya kumtukana na kumpa majibu ya dharau utapungukiwa nini?

Ile mtu unamtext sms za kwanza tu, Unapewa majibu ya dharau na ya kunya kama yote..nakaaga nashangaa, najiuliza huyu mtu akipata mume, huko kwenye ndoa atakua ni mke wa aina gani.
Pesa pesa pesa mzee siku ukija gundua huo ndo uchawi wa mabinti utakuwa umechelewa sana
 
Manara na ela zake mwanamke alimkimbia ukiamin hela ndo kila kitu utakuja kuwa dissapoint sana

Hakuna kitu kinaudhi ujue mwanamke yupo kwa ajili ya hela zako, yaan ukitoa fedha out of equation sio wako ndo maana mtu kama diamond anaishi maisha ya kihuni japokua na utajiri wote ule
Lakini kwa mwaka anaweza akawa anawatafuna kama mia
 
Kuna sababu nyingi zinazoweza kusababisha mtu, ikiwa ni pamoja na wadada, kujibu kwa ukali wakati wanapotongozwa. Baadhi ya sababu hizo ni:

1. Kutokuwa na hisia za kimapenzi kwa mtu anayetongoza
2. Kujisikia kutotamanika au kudharauliwa na mtu anayetongoza
3. Kupata kero ya mara kwa mara kutokana na watu kutowaheshimu na kuwatongoza kwa njia isiyo ya heshima
4. Kukosa kujiamini na kuogopa kukataliwa kwa hiyo hujibu kwa ukali ili kujikinga na majeraha ya kihisia
Ni muhimu kutambua kwamba kila mtu ana haki ya kukataa au kukubali mtu anayemtongoza kwa njia inayomfaa na kwamba kukataliwa sio lazima iwe ni kitendo cha kibinafsi dhidi ya mtu anayetongoza. Ni vizuri kuheshimu maamuzi ya wengine na kuendelea kuheshimiana kwa heshima na upendo.
 
Back
Top Bottom