Kwanini baadhi ya wadada ukiwatongoza, wanajibu kikatili bila sababu?

Umeongea point kubwa sana ukiwa na hela alafu ndo utafute wanawake utakua dissapoint sana
Kweli kabisa coz money attracts any women...so hawatakuja kwaajili ya upendo watakuja kwaajili ya kupata unafuu wa maisha.

pesa sio kila kitu maybe only in financial issues...lakini kwenye mapenzi pesa haina power kama watu wanavyosema..coz once umemtimizia mwanamke mahitaji yake yanayotumia pesa utahisi umemaliza but kumbe baada ya kumtimizia hayo atataka sasa umtimiziea emotional needs zake....sasa hapo wenye hela ndo wanachanganyikiwa
 
Umeongea bonge la point kamwe fedha hela haiwez kureplace hitaji la kihisia, zaman iliwezekana hakukua na social media yaan mawasiliano ilikua ni ngumu

Zaman ilikua ni rahisi sana mzazi akamlazimisha mwanamke kuolewa na ikawezekana sababu hana option, sasa hivi dunia ya social media utagongewa kinoma ndo maana ukiona mwanamke hana hisia na wewe achana naye utakuja umia sana

Ukiwa na hela utakua na guarantee ya sex ila sio love, kinachowatesa watu ni love na sio sex
Dunia ya leo mda wowote unapata sex as long una hela ila love ndo inayowatesa watu
 
Utakuta unamu-approach mdada kistaarabu uanzishe naye mahusiano ya kimapenzi, ambayo pengine yataishia kwenye mdoa, sometimes unachukua namba yake unachat nae kistaarabu, aloo majibu anayojibu unajiuliza sababu ya kukujibu hivyo huoni, useme labda alikukataa halafu unaendelea kumsumbua hakuna, useme umemwambia kitu cha kumtusi au kumdhalilisha, hamna.. useme huyo mdada ni slay queen mdangaji, ukimuangalia sio tabia zake hata hafananii, kimahusiano useme kuna wanaume waliwahi kumuumiza, unakuta hata ex hana,

Ukimwambia mwanaume usiemtaka kuwa "Nashukuru kwa kunipenda, ila kiukweli sihitaji mahusiano ya kimapenzi na wewe, samahani kama nimekukwaza" halafu, akiendelea kukusumbua ndo sasa uchukue hatua Ya kumtukana na kumpa majibu ya dharau utapungukiwa nini?

Ile mtu unamtext sms za kwanza tu, Unapewa majibu ya dharau na ya kunya kama yote..nakaaga nashangaa, najiuliza huyu mtu akipata mume, huko kwenye ndoa atakua ni mke wa aina gani.
Hakuna raha demu akujibu fyongo na uje kumla, baada ya kumkomalia.. unamkaza huku una mrudishai matusi yake... kifupi mwanamke ana jidefend kwa kutukana na weak sana, ukikaza kidogo tu unakula
 
Umeongea bonge la point kamwe fedha hela haiwez kureplace hitaji la kihisia, zaman iliwezekana hakukua na social media yaan mawasiliano ilikua ni ngumu

Zaman ilikua ni rahisi sana mzazi akamlazimisha mwanamke kuolewa na ikawa sawa sababu hana option, sasa hivi dunia ya social media utagongewa kinoma

Ukiwa na hela utakua na guarantee ya sex ila sio love, kinachowatesa watu ni love na sio sex
Dunia ya leo mda wowote unapata sex as long una hela ila love ndo inayowatesa watu
sure uko smart sana mkuu...umeongea ukweli mtupu[emoji119]
 
Manara na ela zake mwanamke alimkimbia ukiamin hela ndo kila kitu utakuja kuwa dissapoint sana

Hakuna kitu kinaudhi ujue mwanamke yupo kwa ajili ya hela zako, yaan ukitoa fedha out of equation sio wako ndo maana mtu kama diamond anaishi maisha ya kihuni japokua na utajiri wote ule
Hivi unaamini manara ana hela?
 
Nakubali hela inakupa wepesi sana kwenye mambo mengi lakin is not everything

Point yangu ni kwamba sio kila mwanamke anakukataa basi sababu ni huna sio kweli, kuna wanawake hawaangalii hela unakuja na hela zako na anakukataa vizuri tu
Sio kwa wanawake wa sasa,ukiona unamiliki demu mzuri na hauna hela na bado ameendelea kuwa na ww basi hizi ndo sababu.
(1) Aidha huyo mwanamke ana hela hivyo hana njaa na pesa.
(2) aidha wenye pesa haeajamuona.
(3)huyo demu wako ana mapungufu kibao ya kitabia yanayo wafanya hao wenye hela wampotezee kumtongoza.

(4) aidha umemroga.

Tofauti na hapo ww kapuku huna namna yeyote ya kushindana na mwenye pesa katika kupata mwanamke mzuri
 
Unajua mapenzi au unaongea kirahisi rahisi watu na hela zao wanajiua kutokana na mapenzi
yanawatesa vibaya mno hawana hata hamu nayo
Dah hii imenifanya nimkumbuke Side wa Mwanza aliyeua mke na kujilipua na risasi kule ziwani. Rest In Peace!
 
Wewe nawee[emoji57] sasa kama mtu anajua anapenda wanawaka wenzake anaweza akampa mwanaume namba na akijua lengo la kutoa hiyo namba ni kutongozwa?
Ni kwel unachokisema mkuu ,ila nina ushuhuda na hili sijatoa tu kwenye chanzo kisichokuwepo .
 
Kweli kabisa coz money attracts any women...so hawatakuja kwaajili ya upendo watakuja kwaajili ya kupata unafuu wa maisha.

pesa sio kila kitu maybe only in financial issues...lakini kwenye mapenzi pesa haina power kama watu wanavyosema..coz once umemtimizia mwanamke mahitaji yake yanayotumia pesa utahisi umemaliza but kumbe baada ya kumtimizia hayo atataka sasa umtimiziea emotional needs zake....sasa hapo wenye hela ndo wanachanganyikiwa
Lakini kumbuka hata huyo mwenye upendo wa kweli kwako unahitaji pesa kumtimizia mahitaji yake ya kila siku tofauti na hapo atakukimbia.
 
Sio kwa wanawake wa sasa,ukiona unamiliki demu mzuri na hauna hela na bado ameendelea kuwa na ww basi hizi ndo sababu.
(1) Aidha huyo mwanamke ana hela hivyo hana njaa na pesa.
(2) aidha wenye pesa haeajamuona.
(3)huyo demu wako ana mapungufu kibao ya kitabia yanayo wafanya hao wenye hela wampotezee kumtongoza.

(4) aidha umemroga.

Tofauti na hapo ww kapuku huna namna yeyote ya kushindana na mwenye pesa katika kupata mwanamke mzuri
Kwenye hii dunia sio kila mtu anababaishwa na hela yaani usifikiri kila mtu anaabudu hela
 
Umeongea bonge la point kamwe fedha hela haiwez kureplace hitaji la kihisia, zaman iliwezekana hakukua na social media yaan mawasiliano ilikua ni ngumu

Zaman ilikua ni rahisi sana mzazi akamlazimisha mwanamke kuolewa na ikawezekana sababu hana option, sasa hivi dunia ya social media utagongewa kinoma ndo maana ukiona mwanamke hana hisia na wewe achana naye utakuja umia sana

Ukiwa na hela utakua na guarantee ya sex ila sio love, kinachowatesa watu ni love na sio sex
Dunia ya leo mda wowote unapata sex as long una hela ila love ndo inayowatesa watu
Katika ulimwengu wa sasa unatafuta mapenzi ya kweli ili yakusaidie nn?
Suala la kugongewa halina mjanja anaweza kuwa anakupenda lakini akakusaliti kwa watu wenye pesa kwasababu ww huna uwezo wa kutimiza mahitaji yake.

Mwanamke kama anakutii na kukuheshimu hiyo inatosha masuala ya mapenzi ya kweli sijui takataka gani utajiumiza kichwa tu haijalishi una pesa au hauna.
 
Kwenye hii dunia sio kila mtu anababaishwa na hela yaani usifikiri kila mtu anaabudu hela
Hacha kuishi kinadharia ww.
Hatobababaishwa hela iwapo atakuwa nazo hizo hela tofauti na hapo acheni kujidanganya.

Huwezi kuwa kapuku alafu usibabishwe na hela.
Yaani mwanamke afuatwe na mtoto wa Mo anahitaji kumuowa amkatae alafu aolewe na ww usiye jua kesho utakula nn umepanga geto la chumba kimoja lenye kisa upendo wa kweli we jamaa unaota eti?

Wanaume wenye mawazo kama ya kwako ni wanaume dhaifu wanao tegemea wapendwe kwa kuonewa huruma.

Hata huyo mke wako uliye naye nyumbani sasa hivi ulimpata kwa sababu alikosa mwenye uwezo kukuzidi au alikuwa nao ila wakamuacha kwa sababu hawakupenda tabia zake.
 
Utakuta unamu-approach mdada kistaarabu uanzishe naye mahusiano ya kimapenzi, ambayo pengine yataishia kwenye mdoa, sometimes unachukua namba yake unachat nae kistaarabu, aloo majibu anayojibu unajiuliza sababu ya kukujibu hivyo huoni, useme labda alikukataa halafu unaendelea kumsumbua hakuna, useme umemwambia kitu cha kumtusi au kumdhalilisha, hamna.. useme huyo mdada ni slay queen mdangaji, ukimuangalia sio tabia zake hata hafananii, kimahusiano useme kuna wanaume waliwahi kumuumiza, unakuta hata ex hana,

Ukimwambia mwanaume usiemtaka kuwa "Nashukuru kwa kunipenda, ila kiukweli sihitaji mahusiano ya kimapenzi na wewe, samahani kama nimekukwaza" halafu, akiendelea kukusumbua ndo sasa uchukue hatua Ya kumtukana na kumpa majibu ya dharau utapungukiwa nini?

Ile mtu unamtext sms za kwanza tu, Unapewa majibu ya dharau na ya kunya kama yote..nakaaga nashangaa, najiuliza huyu mtu akipata mume, huko kwenye ndoa atakua ni mke wa aina gani.
Wanawake,
Wa aina hiyo wapige usoni na buku buku ten (10) kadhaa uoneee....😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Uje utupe mrejesho hapaa🤓
 
Back
Top Bottom