Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuta unamu-approach mdada kistaarabu uanzishe naye mahusiano ya kimapenzi, ambayo pengine yataishia kwenye mdoa, sometimes unachukua namba yake unachat nae kistaarabu, aloo majibu anayojibu unajiuliza sababu ya kukujibu hivyo huoni, useme labda alikukataa halafu unaendelea kumsumbua hakuna, useme umemwambia kitu cha kumtusi au kumdhalilisha, hamna.. useme huyo mdada ni slay queen mdangaji, ukimuangalia sio tabia zake hata hafananii, kimahusiano useme kuna wanaume waliwahi kumuumiza, unakuta hata ex hana,
Ukimwambia mwanaume usiemtaka kuwa "Nashukuru kwa kunipenda, ila kiukweli sihitaji mahusiano ya kimapenzi na wewe, samahani kama nimekukwaza" halafu, akiendelea kukusumbua ndo sasa uchukue hatua Ya kumtukana na kumpa majibu ya dharau utapungukiwa nini?
Ile mtu unamtext sms za kwanza tu, Unapewa majibu ya dharau na ya kunya kama yote..nakaaga nashangaa, najiuliza huyu mtu akipata mume, huko kwenye ndoa atakua ni mke wa aina gani.
kama umesoma vizuri...namaanisha mpe vyote pesa kwenye financial issues na mlidhishe kwenye emotional needs to the quantum level....akikukimbia na hapo fanya mambo mengine achana na mapenzi hayo ya mahusiano....kuna aina nyingi za upendo tafute nyingine mkuu..[emoji2211]Lakini kumbuka hata huyo mwenye upendo wa kweli kwako unahitaji pesa kumtimizia mahitaji yake ya kila siku tofauti na hapo atakukimbia.
Katika dunia ya sasa ukitafuta upendo wa kweli kutoka kwa mtu yeyote basi tarajia kuishi maisha magumu sana mwana mke Kama anakutii na kukuheshimu hilo linatosha huna haja ya kuangaika na mengine.kama umesoma vizuri...namaanisha mpe vyote pesa kwenye financial issues na mlidhishe kwenye emotional needs to the quantum level....akikukimbia na hapo fanya mambo mengine achana na mapenzi hayo ya mahusiano....kuna aina nyingi za upendo tafute nyingine mkuu..[emoji2211]
Mkuu Hawa wasichana wanaowakataa wanaume wazuri ni hao ambao hawaja mature kuanzia 18 mpaka 28 lakini waliogusa 30 hawapendi michezo ya kitoto sababu wanakuwa wameshakuwa kiakili wanatafuta mtu stable.Kwa jinsi ulivyoandika unaonekana ni mr Nice guy na wadada hawapendi wanaume wa dizaini hiyo so badilika kaka kuwa bad boy wadem ni wepesi sana
Facttrue women have no love...but you can bulid it on them.
Utakuta unamu-approach mdada kistaarabu uanzishe naye mahusiano ya kimapenzi, ambayo pengine yataishia kwenye mdoa, sometimes unachukua namba yake unachat nae kistaarabu, aloo majibu anayojibu unajiuliza sababu ya kukujibu hivyo huoni, useme labda alikukataa halafu unaendelea kumsumbua hakuna, useme umemwambia kitu cha kumtusi au kumdhalilisha, hamna.. useme huyo mdada ni slay queen mdangaji, ukimuangalia sio tabia zake hata hafananii, kimahusiano useme kuna wanaume waliwahi kumuumiza, unakuta hata ex hana,
Ukimwambia mwanaume usiemtaka kuwa "Nashukuru kwa kunipenda, ila kiukweli sihitaji mahusiano ya kimapenzi na wewe, samahani kama nimekukwaza" halafu, akiendelea kukusumbua ndo sasa uchukue hatua Ya kumtukana na kumpa majibu ya dharau utapungukiwa nini?
Ile mtu unamtext sms za kwanza tu, Unapewa majibu ya dharau na ya kunya kama yote..nakaaga nashangaa, najiuliza huyu mtu akipata mume, huko kwenye ndoa atakua ni mke wa aina gani.
ila we jamaa dah🤣🤣🤣Heri wewe ulijibiwa kikatili mimi nilikuwa nachatinae kiswahili nilipomtongoza tu akaanza kujibu kwa kiarabu!! Niliachwa njia panda nisijue jibu lake!.
Siku ya siku akaja akapata shida ya hela si akanitafuta boya mimi hapo alikuwa anaandika kiswahili kizuri!,nami nikaanza mjibu kwa kijerumani! Tulionyeshana unyama kwenye lugha!
Huu uzi bila hiyo majibu ya kunya, ni batiliKuna kundi kubwa la wasagaji pia mkuu , hao wana majibu ya ovyo mno.
Dogo tafuta hela,
Nimesema tafuta hela,
Narudia tena tafuta hela,
Yangu ni hayo tu, wengine watakuja kuongezea yao.
inategemea na wewe umeenda vipi yan kabla hujamfikia ashajua unataka nn na jibu lake anakuwa ameliandaa tayar, mbona wengine wana mapokeo mazur tu, wanasema wanaudhaifu lakin kuna sehem kuko vizur,anyaway pole🙂🙂Utakuta unamu-approach mdada kistaarabu uanzishe naye mahusiano ya kimapenzi, ambayo pengine yataishia kwenye ndoa, sometimes unachukua namba yake unachat nae kistaarabu, aloo majibu anayojibu unajiuliza sababu ya kukujibu hivyo huoni, useme labda alikukataa halafu unaendelea kumsumbua hakuna, useme umemwambia kitu cha kumtusi au kumdhalilisha, hamna. Useme huyo mdada ni slay queen mdangaji, ukimuangalia sio tabia zake hata hafananii, kimahusiano useme kuna wanaume waliwahi kumuumiza, unakuta hata ex hana,
Ukimwambia mwanaume usiemtaka kuwa "Nashukuru kwa kunipenda, ila kiukweli sihitaji mahusiano ya kimapenzi na wewe, samahani kama nimekukwaza" halafu, akiendelea kukusumbua ndiyo sasa uchukue hatua Ya kumtukana na kumpa majibu ya dharau utapungukiwa nini?
Ile mtu unamtext sms za kwanza tu, Unapewa majibu ya dharau na ya kunya kama yote nakaaga nashangaa, najiuliza huyu mtu akipata mume, huko kwenye ndoa atakua ni mke wa aina gani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kundi kubwa la wasagaji pia mkuu , hao wana majibu ya ovyo mno.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo unaenda zako unatafta hela unamrejelea unamyoosha mpaka atoe mapovu.....shoo shoo[emoji23]
You're really masculine guyUkijinyenyekeza kindezi Kwa Wanawake wakati WA kuwatongoza lazima wakufanyie hizo Drama.
Vaa pendeza, kuwa smart, onyesha unanuru ya Maisha hata Kwa kuigiza,
Jionyeshe kama MTU ambaye ni ndoto ya Wanawake wengi kumpata,
Sio uwe Rafu, mchafu, ngozi haina Nuru alafu uwaite hao viumbe, watakupuuza na kukudharau.
Jiamini, ongea Sauti isiyo na woga.
Usiwaite kihuni, ita kijentomen
Wanawake wanaogopa wanaume wenye vipato, mabishoo, handsome boy, Watawala na wenye vyeo.
Kwa sababu wanaume hao hawajinyenyekezi kwao
Wazee wa 'red pill'[emoji23]You're really masculine guy