Kwanini baadhi ya wadada ukiwatongoza, wanajibu kikatili bila sababu?

Kwanini baadhi ya wadada ukiwatongoza, wanajibu kikatili bila sababu?

Tafuta hela mkuu., na ukikueleza matatizo yake ya kifedha kama kodi ya nyumba, sijala, mama anaumwa, nimechoka kupanda daladala nk, wew mpe hela usiulize sana hapo mkuu utakuwa unawapata kirahis.
Kuna wenye Hela zao na bado wanagongewa tu Tena na makapuku hii nayo inatokana na nini
 
Huyo Mwanamke aliyeachana na huyo Manara aliulizwa kua,watu wanasema ulifuata hela,ni kweli? akajibu kwa kuuliza "Kwani Haji ana hela? ana hela za kawaida tu"Kijana tafuta hela acha kujifariji na misamiati,hii Dunia ya leo inahitaji fedha.
Unaulizwa Ili ijulikane kwamba una Hela unatakiwa uwe na kiasi Gani Cha fedha? Maana kusema manara Hana Hela napo inafikirisha. Halafu mbona bill gates kaachwa licha ya kuwa tajiri mkubwa? Yule tajiri wa Amazon naye? Usiishi Kwa kukariri haya mambo hayana formula
 
Utakuta unamu-approach mdada kistaarabu uanzishe naye mahusiano ya kimapenzi, ambayo pengine yataishia kwenye ndoa, sometimes unachukua namba yake unachat nae kistaarabu, aloo majibu anayojibu unajiuliza sababu ya kukujibu hivyo huoni, useme labda alikukataa halafu unaendelea kumsumbua hakuna, useme umemwambia kitu cha kumtusi au kumdhalilisha, hamna. Useme huyo mdada ni slay queen mdangaji, ukimuangalia sio tabia zake hata hafananii, kimahusiano useme kuna wanaume waliwahi kumuumiza, unakuta hata ex hana,

Ukimwambia mwanaume usiemtaka kuwa "Nashukuru kwa kunipenda, ila kiukweli sihitaji mahusiano ya kimapenzi na wewe, samahani kama nimekukwaza" halafu, akiendelea kukusumbua ndiyo sasa uchukue hatua Ya kumtukana na kumpa majibu ya dharau utapungukiwa nini?

Ile mtu unamtext sms za kwanza tu, Unapewa majibu ya dharau na ya kunya kama yote nakaaga nashangaa, najiuliza huyu mtu akipata mume, huko kwenye ndoa atakua ni mke wa aina gani.
Hawana AFYA YA AKILI
 
Suluhisho la haya yote ni 2025, mwaka ambao wanaume tutakabidhiwa madaraka ya utongozaji. Kwa sasa wanawake wanaweza, achana nao mkuu
 
Back
Top Bottom