Kwanini baadhi ya wadada ukiwatongoza, wanajibu kikatili bila sababu?

Tafuta hela mkuu., na ukikueleza matatizo yake ya kifedha kama kodi ya nyumba, sijala, mama anaumwa, nimechoka kupanda daladala nk, wew mpe hela usiulize sana hapo mkuu utakuwa unawapata kirahis.
Kuna wenye Hela zao na bado wanagongewa tu Tena na makapuku hii nayo inatokana na nini
 
Huyo Mwanamke aliyeachana na huyo Manara aliulizwa kua,watu wanasema ulifuata hela,ni kweli? akajibu kwa kuuliza "Kwani Haji ana hela? ana hela za kawaida tu"Kijana tafuta hela acha kujifariji na misamiati,hii Dunia ya leo inahitaji fedha.
Unaulizwa Ili ijulikane kwamba una Hela unatakiwa uwe na kiasi Gani Cha fedha? Maana kusema manara Hana Hela napo inafikirisha. Halafu mbona bill gates kaachwa licha ya kuwa tajiri mkubwa? Yule tajiri wa Amazon naye? Usiishi Kwa kukariri haya mambo hayana formula
 
Tafuta hela wanawake watakutongoza wenyewe na wewe ndio utachagua yupi anaekufaa. As a man, focus on building your frame and ignore chasing women.
Wakati huo na wenyewe wanatafuta hela. Mkija kutana wote mna hela 🀣
 
Hawana AFYA YA AKILI
 
Suluhisho la haya yote ni 2025, mwaka ambao wanaume tutakabidhiwa madaraka ya utongozaji. Kwa sasa wanawake wanaweza, achana nao mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…