Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Hatutaki shobo nanyie😕😕😕tunasifia wannjeGood evening JF,
Kwanini baadhi ya wanaume hampendi kuwasifia wake zenu,wachumba zenu au wapenzi wenuu...unakuta mwanamke ni mzurii au una kitu kizurii mwilini mwako...
Sometimes tunawaza tukiwasifia sana tutawapa kichwa alafu mtaanza kutupanda kichwani.Good evening JF,
Kwanini baadhi ya wanaume hampendi kuwasifia wake zenu,wachumba zenu au wapenzi wenuu...unakuta mwanamke ni mzurii au una kitu kizurii mwilini mwako...
😃😃Mbna unatoa siri sasa.Kwa maana sio kitu kipya utakesha ukisubiri usifiwe na uliyenaye mwanaume akishamvua mtu kiupi basi hakusifi hata ujiue
Nimetoka kusifiwa muda sio mrefu.Kwa maana sio kitu kipya utakesha ukisubiri usifiwe na uliyenaye mwanaume akishamvua mtu kiupi basi hakusifi hata ujiue
🔨🔨🔨Mambo mengi kwenye ndoa yamewekwa kwa ajili ya kumfurahisha mwanamke
Kuna Raha Sana ukisifiwa Na mwanaume wakoSometimes tunawaza tukiwasifia sana tutawapa kichwa alafu mtaanza kutupanda kichwani.
Ndomana Hua mnchapiwa Kwa mentality hiiNakulisha
Nakunywesha
Nakuvalisha
Nakupa malazi
Nakupa zawadi kweny birthday zako
Ukiumwa nakuhangaikia hadi upone
Nisipo kwambia una tako zuri bac hayo yote ni bure.
Grow up!
sio shida kuchapiwa ,kwani kuna mwanamke mmoja duniani?Ndomana Hua mnchapiwa Kwa mentality hii
Basi ngoja mimi nimsifie SweetyCandy hata kama siyo mke/mchumba/mpenzi wangu!Good evening JF,
Kwanini baadhi ya wanaume hampendi kuwasifia wake zenu, wachumba zenu au wapenzi wenuu?...unakuta mwanamke ni mzurii au una kitu kizurii mwilini ...
watu na mr man zaomshamba_hachekwi hivyo vicheko vyako vinafanya najishtukia🙈🙈
What’s goin on kijana?🙃