Kwanini baadhi ya wanaume hampendi kuwasifia wanawake wenu?

Kwanini baadhi ya wanaume hampendi kuwasifia wanawake wenu?

Miss_Mariaah

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2022
Posts
2,176
Reaction score
4,979
Good evening JF,

Kwanini baadhi ya wanaume hampendi kuwasifia wake zenu, wachumba zenu au wapenzi wenuu?...unakuta mwanamke ni mzurii au una kitu kizurii mwilini mwako labda mguu, jicho, nywele chaajabu mwanaume wake hamsifii yaani hata kusema "you are beautiful" hakuambiii ukipendeza hakuambiii hata siku ukapost picha nzuri hakuambii.

Unakuta unasifiwa na watu wengine tuu wanaume wengine tuu ndio wanakusifia, wanawake wenzangu wananielewa haka kafeeling ka kutosifiwa na mwanaume wako Ila unasifiwa na wanaume wengine.
 
Reciprocal- kutendana

Watu unaokuwa nao mara nyingi huwa wapo static so ni wewe kuwafanya kuwa dynamic

Mfano ukiona mtu akusifii anza kumsifia wewe

Ukiona MTU akusalimii anza kumsalimia wewe

Na ukiona MTU hakupi hela anza kumpa wewe.

Hii ndo njia ya ku-catch attention ya MTU yeyote unayemtaka .

Then kuna utofauti wa sex mate -MTU mnayeshirikiana kufanya ngono pamoja

Na soulmate -MTU mliyeunganishwa na UPENDO.

So unabidi kujua MTU wako ni sexmate or soulmate !
 
Back
Top Bottom