Kwanini baadhi ya wanaume hampendi kuwasifia wanawake wenu?

Mnataka kusifiwa au mnataka hela? embu kuweni specific mnawachanganya vijana
 
Watakuwa wanaogopa kamsemo ka "Darling nikwambie kitu?"...🏃

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Mke wangu ana Tako kumbwa so siwezi kumsifia maana kile ni kinyesi TU Cha chakula ambacho nanunua mm
 
Huo uzurii anauona zaidi yeye, kwa kua unakua uchi, ukiwa nae hivyo ndo anajua km wee mzuri au laaah.

Hao wa pembeni, wanakuona ukiwa ndani ya nguo na mekapu, ndo maana wanakusifiaa.

Poleeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo unataka kila uchwao usifiwe kuhusu mguu au jicho zuri ambalo nilikusifia mara kibao kabla sijakuoa na pengine hata nilipokuo nimewahi.

Au unataka nikusifie kuhusu nguo nilizokununulia miezi kadhaa ambazo nguo hizi wakati nakuletea ulizivaa na nikakusifia like umependeza.

Sasa unataka kila ukivaa nikwambie umependeza umependeza umependezaaa.

Au kila ukiamka nikwambie unajicho zuri unajicho zuri au unamguu mzuri unamguu mzuri. 😆😆😆😆😆😆
 
ukiwa chooni unazoea harufu ila wa nje ya choo anahisi harufu kali.
 
🙆🙆🙆
 
Nyie ndio mkija kuwa viongozi mtahakikisha mnazungukwa na machawa na mtateka watu wasiowasifia🐒
 
Mtoto wa watu ananinilisha milo yote mitatu,ananivalisha,ananilaza kwenye nyumba nzuri,ananilipia saloon,ananinulia wine,ana support wallet yangu aisee its to much for him,hizo sifa aniachie mimi NITAMSIFIA YEYE....
 
Nakupenda nakutakecare

Hizo ni sifa tosha

Unataka nikwambia babe unakomwe zuri
 
Mgema akisifiwa- Tembo hulitia maji… hii methali umeisha wahi isikia kule darasa la nne au tano?
Mwanaume akikusifia maana yake anataka usahau ulio tupa pichu yako.
Na hapo ndipo wengi wenu hamjui nia zetu za kusifia…
Ukimsifia tu, ni mwanzo wa kuchombeza na kuwasha matalumbeta, Hivyo inabidi kujiandaa Kabla ya yote…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…