wambagusta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 2,825
- 2,292
Hata mie nashangaa kwanini sinyoi siku nikipanga nikanyoe basi nikifika geto nasahau nikikumbuka najiisi mvivu lakini leo nitajaribu maana hii mada imenigusa Sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini baadhi ya wanaume wengi hawanyoi nywele za makwapa na naonaga wengi hawanyoi mpaka zinakuwa nyingi kwanini?
Hehehehe...ww unaangalia wapiMakwapa ndio unayoyaona tu ? You are concentrating on them too much
EyesHehehehe...ww unaangalia wapi
wanaume wa canada ndio hawanyoi kwapa au wanaume wa Tanzania? maana kwa kupitia huu uzi wako huu upo Canada sasa hivi
Bye bye my Tanzania, bye bye my fellow members, truly gonna miss u
Itakuwa wanaume wa kanada tuuwanaume wa canada ndio hawanyoi kwapa au wanaume wa Tanzania? maana kwa kupitia huu uzi wako huu upo Canada sasa hivi
Bye bye my Tanzania, bye bye my fellow members, truly gonna miss u
Umejuaje hawanyoi?? BTW mbona hujui kuandika??Kwanini baadhi ya wanaume wengi hawanyoi nywele za makwapa na naonaga wengi hawanyoi mpaka zinakuwa nyingi kwanini?
Duh una kumbukumbu kweli mkuu!!wanaume wa canada ndio hawanyoi kwapa au wanaume wa Tanzania? maana kwa kupitia huu uzi wako huu upo Canada sasa hivi
Bye bye my Tanzania, bye bye my fellow members, truly gonna miss u
mtoa mada BADILI TABIA ya kuandika kwa staili hiyo!Ukiona hawanyoi ujue ni Wachafu tu.....
Ila na wewe hebu nyoosha lugha unapoandika...uvivu gani huo???pyeeee
Kwann
wng
Awanyoi = matumizi ya "h" yazingatie
Znakua
Nyng
Ha Hahaha ha Nimecheka mpaka baaaaaas[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]wanaume wa canada ndio hawanyoi kwapa au wanaume wa Tanzania? maana kwa kupitia huu uzi wako huu upo Canada sasa hivi
Bye bye my Tanzania, bye bye my fellow members, truly gonna miss u
Kifusi.anazchukuliaje?
Si kwamba hawanyoi.Styles huwa zinakuchanganya.Punk,afro,shorwe crew bwenzi,kisahani,kiduku n.k[emoji41]Ha Hahaha ha Nimecheka mpaka baaaaaas[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Hahahahaha...waliozoea kusema uongo hawawezi kusema kweli!!wanaume wa canada ndio hawanyoi kwapa au wanaume wa Tanzania? maana kwa kupitia huu uzi wako huu upo Canada sasa hivi
Bye bye my Tanzania, bye bye my fellow members, truly gonna miss u