Kwanini baadhi ya wanaume hawanyoi nywele za makwapa?

Kwanini baadhi ya wanaume hawanyoi nywele za makwapa?

ujue makwapani ni sehemu ambayo inabidi uwe makini wakati unanyoa maana ukijikata tu unatembea kama wabeba vyuma ndo maana wengi inawatia uvivu
 
Mi wangu tunanyoana kila wk na huwa ni uvivu umewajaa sasa mkiekeana ratiba ya kunyoana walaaaa atakuwa nsafiii. Mi sizipendiii kama nimekuzoeya nakupa ofa ya kinyoleo
 
Back
Top Bottom