Kwanini baadhi ya wanaume hawanyoi nywele za makwapa?

Kwanini baadhi ya wanaume hawanyoi nywele za makwapa?

Wengine hawanyoi halafu kutunza ziwe safi wanashindwa hadi zitakuwa chafu sana.
 
Kwanini baadhi ya wanaume wengi hawanyoi nywele za makwapa na naonaga wengi hawanyoi mpaka zinakuwa nyingi kwanini?

Mi nadhan research yako imekudanganya sana hukusema umewaona wanaume wangapi kwenye wangapi, au kila wanaume 10 ni wangapi hawajanyoa, suala la kunyoa na kuto kunyoa ni shida kulielezea mana sitegemei kwamba kila mwanaume ulikuwa na uwezo wa kumfunua kwapa na kumuangalia kama ananyoa au laa, au yawezekana bwana wako hanyoi sasa umeleta hii kama mada ili uwaseme wanaume hawanyoi kwapa. Ni nonsense kabisa.
 
Sina hela ya kiwembe...Naogopa kujikata.... Ni tabu sana kunyoa tofauti na nywele zingine[emoji31]
 
Sioni tatizo mwanaume asiponyoa za kwapa as long as zipo safi. By the way..I like em hairy..
 
Back
Top Bottom