Kwanini baadhi ya wanaume hawanyoi nywele za makwapa?

Hata mie nashangaa kwanini sinyoi siku nikipanga nikanyoe basi nikifika geto nasahau nikikumbuka najiisi mvivu lakini leo nitajaribu maana hii mada imenigusa Sana
 
Next time ukiwa nae au ukiwa nao waulize mbona hamnyoi? Nahisi watakupa majibu. Katika hao wengi uliza watatu wanatosha.
 
Ukiona hawanyoi ujue ni Wachafu tu.....

Ila na wewe hebu nyoosha lugha unapoandika...uvivu gani huo???pyeeee

Kwann
wng
Awanyoi = matumizi ya "h" yazingatie
Znakua
Nyng
mtoa mada BADILI TABIA ya kuandika kwa staili hiyo!
 
Nywele za kwapa ni hazina.

Kwenye mambo yetu yale ya behind 4 walls zinatoaga kaharufu fulani hivi watoto wa mujini wanakaitaga AMEIZING...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…