Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,363
..haikua kitu..ila,,,ushawahi kuwaona wadada club wanavyovaa..ehe ikawaje??
Umemuona ee!
Siku ingine msiende nae tena Club huyu Kipaji Halisi, bora mumchukue Kimbweka au funzadume.
Wana
Forum;
Mniwie radhi kwani si kawaida yangu
kutembelea jukwaa hili la wapwa na mabinamu lakini leo imenilazimu . . .
.
Ashakum si matusi . . . Nikiwa ofisini
katika kazi zangu za kawaida kuna dada moja ambaye hupendelea sana kuvaa
suruali na zinamkaa vilivyo. Hata hivyo majuzi alivaa sketi ambayo pia
ilimkaa vema. Bahati mbaya wakati naingia ofisini na bila kudhamiria
nilimwona amekaa mkao ambao "mambo yote yalikuwa hadharani". Naam, kwa
hakika hakuwa amevaa chupi. Nilikausha na kujifanya kama vile sijamwona
na yeye nadhani alijishtukia hivyo akakaa vema.
Jambo hili lilinifanya nijiulize maswali
mengi na hasa ni kwa nini hakuvaa chupi lakini sikupata jibu na hivyo
kuamua kulileta hapa jamvini:
Je, kuna baadhi ya Wanawake hawavai
chupi? Na kama ni hivyo, ni kwa nini?
Bujibuji havai....labda G-String.Halafu futa hilo jina la 'MJEDA' hapo..Kuna wengine maumbo yao mazuri hadi wakivaa chupi wanakuwa hawayajetendea haki maumbile yao. Hebu fikiria mtu kama demu wa mjeda hivi aanze kijibanabana na vichupi vyenu vya miatano hamsini.
Mama ya mjeda inatakiwa ivae chupi special order ya batiki au kitende.
CC Madame B, MadameX, Ben Saanane, mwaJ watu8, Boflo, Mtambuzi, ndyoko, Mwita Maranya
Ok kaka Ben Saanane, yule ni mgambo koko tu, hata sungusungu hawezi kulinda.Bujibuji havai....labda G-String.Halafu futa hilo jina la 'MJEDA' hapo..
Am Missing U.............
..cjamtaja mtu..
..wewe ni mchonganishi sana..simooo
Thanks.....
...
Chachu Ombara upo???
..nishapouwa..Ha ha ha ha pole lo
Khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! mimi nakataa kwa BIG NOOOOOOOOOOOO! hayo maji maji yanatokana na nini? labda huyo wa kwako, ndiye mwenye maji maji, lakini mm wala sina , na mara nyingi nikiwa home wakati wa weekend huwa sivai kabisaaaaaa!! na wala silowi, sasa unaposema tunalowanisha , Mhhhhhhhhh! nina wasiwasi na huyo mwanamke wako labda atakuwa ana tatizo mpeleke Hosp.Dah! Sidhani kama kuna mwanamke ambaye anaweza kwenda kazini pasipo kuvaa chupi/skin tight n'k maana mwanamke daima kutokana na maumbile yao uwa kuna maji maji ambayo uwa yanatoka ukeni, kitendo hicho uminyima mwanamke uhuru na hivyo ulazimika kuvaa chupi au kuweka kitu ambacho kitafyonza unyevu nyevu wowote utakao toka ukeni. Hivyo hasipo vaa chupi na kuvaa skirt tu kuna uwezekano akajichafua.
dada ha ha bora ulivyofungukaKhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! mimi nakataa kwa BIG NOOOOOOOOOOOO! hayo maji maji yanatokana na nini? labda huyo wa kwako, ndiye mwenye maji maji, lakini mm wala sina , na mara nyingi nikiwa home wakati wa weekend huwa sivai kabisaaaaaa!! na wala silowi, sasa unaposema tunalowanisha , Mhhhhhhhhh! nina wasiwasi na huyo mwanamke wako labda atakuwa ana tatizo mpeleke Hosp.