Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

Wana
Forum;


Mniwie radhi kwani si kawaida yangu
kutembelea jukwaa hili la wapwa na mabinamu lakini leo imenilazimu . . .
.


Ashakum si matusi . . . Nikiwa ofisini
katika kazi zangu za kawaida kuna dada moja ambaye hupendelea sana kuvaa
suruali na zinamkaa vilivyo. Hata hivyo majuzi alivaa sketi ambayo pia
ilimkaa vema. Bahati mbaya wakati naingia ofisini na bila kudhamiria
nilimwona amekaa mkao ambao "mambo yote yalikuwa hadharani". Naam, kwa
hakika hakuwa amevaa chupi. Nilikausha na kujifanya kama vile sijamwona
na yeye nadhani alijishtukia hivyo akakaa vema.


Jambo hili lilinifanya nijiulize maswali
mengi na hasa ni kwa nini hakuvaa chupi lakini sikupata jibu na hivyo
kuamua kulileta hapa jamvini:


Je, kuna baadhi ya Wanawake hawavai
chupi? Na kama ni hivyo, ni kwa nini?


Ha ha ha! wanauza hao! wanahitaji dushelele kuubwa!
 
Chupi bhana, ukivaa ikaonekana juu ya nguo unaambiwa umekaa uchi. Ukikaa vibaya ikaonekana unaambiwa kaa vizuri. Ukionekana hujavaa wanakuuliza mbona hujavaaa? Dah maswali ni mengi kwa vazi hili.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha haaaaaaaaa! Kumbe Bujibuji unamuogopa Madame B! Ndio maana akakutema.

Chezea Madame B yeye..........
11404d1174955915-female-bodybuilder-pictures-another-woman-body-builder-84c.jpg
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha mi na wewe tutawasuta watu hatuwezi kusutana best usingizi haukuji
amu nitakusuta nakwambia.
Hebu lala ukue.
Afu vp mbona kimya!
Mwezi wa 4 ndo huo.
Hatuendi kumsuta yule Shankupe?
Nina hamu.
 
Last edited by a moderator:
Dah! Sidhani kama kuna mwanamke ambaye anaweza kwenda kazini pasipo kuvaa chupi/skin tight n'k maana mwanamke daima kutokana na maumbile yao uwa kuna maji maji ambayo uwa yanatoka ukeni, kitendo hicho uminyima mwanamke uhuru na hivyo ulazimika kuvaa chupi au kuweka kitu ambacho kitafyonza unyevu nyevu wowote utakao toka ukeni. Hivyo hasipo vaa chupi na kuvaa skirt tu kuna uwezekano akajichafua.
Khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! mimi nakataa kwa BIG NOOOOOOOOOOOO! hayo maji maji yanatokana na nini? labda huyo wa kwako, ndiye mwenye maji maji, lakini mm wala sina , na mara nyingi nikiwa home wakati wa weekend huwa sivai kabisaaaaaa!! na wala silowi, sasa unaposema tunalowanisha , Mhhhhhhhhh! nina wasiwasi na huyo mwanamke wako labda atakuwa ana tatizo mpeleke Hosp.
 
Khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! mimi nakataa kwa BIG NOOOOOOOOOOOO! hayo maji maji yanatokana na nini? labda huyo wa kwako, ndiye mwenye maji maji, lakini mm wala sina , na mara nyingi nikiwa home wakati wa weekend huwa sivai kabisaaaaaa!! na wala silowi, sasa unaposema tunalowanisha , Mhhhhhhhhh! nina wasiwasi na huyo mwanamke wako labda atakuwa ana tatizo mpeleke Hosp.
dada ha ha bora ulivyofunguka
 
Back
Top Bottom