Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Sijajua tatizo ni nini kwa wadada wa siku hizi unakuta una urafiki na msichana halafu inafika hatua ukimuelezea hisia zako anazingua na hataki kabisa hizo story za mapenzi yeye anataka muwe marafiki tuu au kaka na dada.
Basi kwa ustaarabu unaamua muwe kaka na dada ambao mnasaidia katika shida na raha.
Lakini siku ukianzisha uhusiano au mahusiano na mwanamke mwingine au akijua una mwanamke basi anaanza kusikia wivu Mara anaanza kukuchukia Mara akuseme vibaya.
Hivi tatizo ni nini maana mtu hakutaki uwe mpenzi wake ila ana wivu akisikia una mpenzi.