Kwanini baadhi ya wanawake wana wivu na wanaume ambao sio wapenzi wao?

Kwanini baadhi ya wanawake wana wivu na wanaume ambao sio wapenzi wao?

Hahahahah!!!! Mademu bwana cjui wataach lnii ubinafsii!!! Ngoja nikuulize unawezaa kujipaa mimba wee mwenyewe??? Bila ku2mia mbegu za mwanaume
Linganisha,
We unapachika tu
Mm nalea tumbon na kukileta dunian, kubali kataa, woman are special
 
Umeongea point mkuu, hawa viumbe Mungu tu ndo anajua mioyo yao. Ni wachache sana ambao akikukataa amemaanisha. Wengine wanapima upepo tuu, wanasema akikubali haraka utamchukulia malaya vile...
 
Ok! Mtu akikutongoza ukamkataa, halafu umuone anamtongoza mwingine , hupati wivu?
Kama nimemkataa Kwa nia moja wala siumii, tena huwa nashukuru asiendelee kuniumiza, ila kama nimekataa ile staki nataka ndo ntaumia
 
Mie alinikataa bana kabisa yule Demu na nika jua kweli hanitaki, si nikachukua kitu ingine tena rafiki yake basi! wala hakunionyesha kuwa amenuna basi na mie nikamchukulia poa!! lkn siku moja Denu alie nikataa akaja kunambia demu wako mshamba sana anaongelea mambo mnayo fanya akanambia a to z !!! ok nikamponda tu kumbe rafikiyo mshamba hivi? yakaishia hapo.

siku moja isiyokuwa na tarehe km namtania tu hivi, na kucheka akanambia twende ndani bana weee! si tukaenda ndani kweli, tuka kaa, akasema ..zima taa nikazima taa! Bwana tulale !! wee nilikula mzigo mtamu siku hiyo hakuna tena!! yaani nilishinda na furahaa tyuuuu kazini! hata saa izi niko vizuri nikimuwaza Mary!
 
Sipendagi mwanamke kukubali kwa vitendo, huwa naenjoy anavyo hangaika kutoa jibu la mdomo hahahahha mara ntakwambia, lini una muda yaani full mawenge.

Wengine kutoa jibu ni mtihani we jishikie mkono kapige vyombo
uzi huu waliochangia wengi ni watoto hivi wanwke walivyokua cheap bado mnatongoza .uwo muda mnautoa wapi
 
Back
Top Bottom