Kwanini baadhi ya wanawake wana wivu na wanaume ambao sio wapenzi wao?

Psychological point of view when woman says NO=Yes, YES=No,ukimwambia njoo geto leo atakataa but kiukweli atakuja ili akuone kama uko makini nae, akijibu direct nakuja ujuwe huyo haji na kesho atakupa cooked reasons kibao.
 
Kuna jamaa yangu alikuwa anapendana na mdada Fulani kitaa, wakawa na tabia ya kukaa sehemu fulani hivi around na masikani yao mdada mida ya usiku wanaongea story kama wapendanao. Cha ajabu wadada na wamama waishio around wakajioganize kuwamwagia mkojo lita 5 .. Kisa tu kupendwa huyo mdada
 
HUYU MWANAMKE ALIKUFANYA WEE NI MWANAUME WA KUZUGIA ILA YUPO AMBAE ANAYEMPENDA KWA DHATI .......

KILICHOTOKEA HAPO UMEMCHEZEA MCHEZO MCHAFU YAANI UMEMFANYA MWANAMKE AJIONE HANA THAMANI TENA .

NA KINACHOOMUZA YEYE MOYO KUNA GOALS AU MALENGO ALIKUWA AMESHAYAPANGA AKIKUCHUKULIA KAMA WA KUZUGIA SASA ANAAMINI HUYO ULIYEMPATA AMEVURUGA MALENGO YAKE COZ UNAKUTANA LABDA UNAKUTA ULIMUAHIDI UTAKUJA KUMNUNULIA KIWANJA AU KUMJENGEA NYUMBA SASA KATIKA HILO NI LAZIMA WIVU UIBUKEE NA SIO WIVU TUU HAPO KUNA CHUKI NA UHASAMA

NI HAYO TUU MKUU
 

Anaekuoenda hawezi kuchezea shilingi chooni, hivi mtu unamtokea miezi kadhaa , hapo anataka kubembelezwa nini tena, ila ukibadilisha direction basi utakuwa mbaya kwake.
 
Kaka umepiga mahala pake Hapa kazini kwetu kamekuja kadada fulani hivi sasa kuna jamaa mmoja yuko vizuri kiuchumi akakatokea kale kadada na kadada bila iyana kalimkubali yule jamaa Me nikaona isiwe tabu ukicheki kadada ilizoeana nacho sana kama kaka na dada Ishu jana nilikuwa naongea na demu mwingine uwezi amini kanichunia kuanzia jana hadi leo nikimsemesha ananijibu me sijatulia sasa najiuliza sijatulia kivipi na ikiwa yeye sijamtongoza nikaona usiwe tabu na mimi nimlie bati tu
 
80% ya thread za Jf zamzungumzia mwanamke, this shows how special we are,

Alhamdulilah nimezaliwa mwanamke
Naamini kabisa kwa dhati ya moyo wangu (in haji manara voice) kama ungepewa upya uchague jinsia usingetamani kuzaliwa mwanamke.

ni vile imeshatokea hakuna namna ya kupinga ila ukiambiwa uchague ungetamani uwe mwanaume

na ukija huku bahati mbaya ukawa na kibamia utatamani uwe mwanamke tena hahahaaha
 
hata mimi niko hivyo hivyo mkuu,nakubembeleza nikubaliwe ndo sijuagi kabisaa

Mtu umemtongoza akasema hataki unaendelea kuwa nae urafiki wa namna gani?!... Kama ameona sifai kuwa mpenzi basi hata urafiki haufai
 
Reactions: ywf
Mtu umemtongoza akasema hataki unaendelea kuwa nae urafiki wa namna gani?!...kama ameona sifai kuwa mpenz basi hata urafiki haufai
Ndo hivyo mkuu haina haja ya kuforce.. wanawake wapo wengi sana
 
Anaekuoenda hawezi kuchezea shilingi chooni, hivi mtu unamtokea miezi kadhaa , hapo anataka kubembelezwa nini tena, ila ukibadilisha direction basi utakuwa mbaya kwake.
Hamna hujui tu kasumba zetu sisi wanawake na wanaume wengine wanapenda wanawake wagumu, sio leo nakupenda na yeye hata mimi nakupenda big no. So, muelewege tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…