Lanlady
JF-Expert Member
- Feb 27, 2019
- 1,836
- 6,303
Nimesikia mara nyingi sana baadhi ya wananchi wakiipongeza serikali kwa wao kumiliki nyumba, gari, buashara, kuwa na kazi, elimu hata kama wamelipa ada. Nk Au wengine kuwalumu serikali kwa kukosa maisha bora!
Je, ni sahihi kwa mtu kuipongeza au kuilaumi serikali kwa mafanikio/matatizo yake binafsi?
Je, ni sahihi kwa mtu kuipongeza au kuilaumi serikali kwa mafanikio/matatizo yake binafsi?