Kwanini baadhi ya watu hutingisha miguu wakiwa wametulia?

Kwanini baadhi ya watu hutingisha miguu wakiwa wametulia?

HB.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
608
Reaction score
639
Kama ulishawahi Ku notes kuna baadhi ya watu akiwa amekaa katulia anaanza kutingisha miguu/mapaja

Wataalamu wa mambo je hii ni Mechanism gani?
 
Mimi siyo mtaalamu ila ni tabia tu kama tabia nyingine, inaweza ikwa mbaya kwa watu wengine na ikawa nzuri kwa watu wengine
 
We hukusoma shule mpaka usijue mfumo wa binadamu unavyofanya kazi.hiyo ni natural reaction kama vile unavyopiga miayo
 
Wale wanaokuwa wamelala alafu mguu ukawa kama unashituka amini nakwambia hao wanaakili Sanaa, wanauwezo wa kuamisha hadi mlima..

Na hao unao wataja ni jamii ya wale wenyewe wanaakili sana..
 
Kamuulize Masilingi kwenye mkutano wa kumchana Mengi alikuwa anatikisa miguu!
 
Kama ulishawahi Ku notes kuna baadhi ya watu akiwa amekaa katulia anaanza kutingisha miguu/mapaja

Wataalamu wa mambo je hii ni Mechanism gani?
Inanitokeaga sana tu, sijawahi hata kuuliza inasababishwa na nini
 
Hiyo sijui kwa kweli, ila najua biblia inasema " afumbaye macho yake anawaza mabaya". ( ambaye amefumba macho sio lengo la usingizi)
 
inategemea, kujitingisha ni dalili ya kuwa mtu yupo stressed au anafikiria kitu..

hii inanitokeaga hata mimi...naweza nikawa natingisha mguu au vidole nagonga kwenye meza,

watu wametofautiana, wapo ambao huwa ni voluntary na wengine ni involuntary ila all in all ni mechanism ya ubongo ktk utendaji wake wa kila siku.
 
Hii kitu ninayo tangu nipo mdogo now mtu mzima.
Na bado sielewi kwanini inanitokea. Siwezi kukaa dak 5 lazima nitingishe miguu. Af cha ajabu sichoki sasa
 
Oya unapuguza nyege kila binadamu inamtokea ( nyege zikizidi anatumia kama body reaction ya kupunguza nyenge)
 
Hahahah nimekumbuka kuna siku nilikuwa natikisa mguu hivyo dada mmoja akaja akaniambia kaka unatatizo nkamwambia hapana kwann akajib et sa mbona unatikisa mguu, nilishangaa maana ni kitu cha kawaida tu
 
Back
Top Bottom