Kipanga boy
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,409
- 1,219
Nijuavyo Mimi Mtu hufanya hivo anapopata raha za asili akiwa kukaa na kutulia, hapa tukumbuke mwenye huzuni au stress hawezi kutisa au mnavodai kutingisha miguu. Baada ya raha hujawa na mawazo ya kukamilisha sterehe zake, na hii hutokea pale unapomuwaza mpenzi kwa utulivu mkubwa mguu hushake na kwa sisi tulio na mabinti akifanya hivo lazima nimwite na kumtuma hata maji tu ili Akili iwaze kingine na kumkomboa kwenye fikra za kupigwa mti. Kwa wanaume nako ni hivo hivo, okisijenii ikijaa kwenye bunduki ukiwa umetulia kitini lazima ushake mguu na hapo ili ikate ghafla ukiitwa na mtu unayemheshimu lazima ikate, na hata ukikaa hautikisi tena mguu hadi baadae, muda mwngne wakati wa barid wengi hufanya hiv ila lengo lao kubwa ni kupata mpenzi atoe baridi, U know I m super humble[emoji12] [emoji12] [emoji12]