Kwanini baadhi ya watu hutingisha miguu wakiwa wametulia?

Kwanini baadhi ya watu hutingisha miguu wakiwa wametulia?

Hiyo kitu ni sehemu ya maisha yangu tangu najitambua kila siku nikilala lazima na wakati baridi nabebesha miguu natingisha yote hadi nipitiwe na usingizi.
 
hata ndama akiwa nanuonya anatikisa mkia wake, kuashiria equlibrium state yake..
vilevile hata bata hatatikisa mkia, paka na viumbe wengine..
 
Back
Top Bottom