Kwanini baadhi ya watu hutingisha miguu wakiwa wametulia?

Kwanini baadhi ya watu hutingisha miguu wakiwa wametulia?

Ni sawa na wale ambao tukitulia tunawaza kunyetoka tu. Ni ka formula kako tu ka maisha mkuu.
 
Mtaongea mengi lakini ukweli ni kwamba,hii ni tabia ya mtu yoyote aliyelidhika kimaisha,awe anacho au hana lakini kaweka moyo wake kua na amani na maisha yake.na ni tabia inayoendana na dharau na tuliichukua kwa wakoroni wa kiarabu.tabia za kibwanyenye
Mkuu big up sana. Wewe peke yako ndio umeandika point
 
Mimi huwa najiaminisha hiki ni kitabia cha kurithi sababu mzee baba anacho na mdogo wangu pia.

Mimi nikisimama hata dakika tatu hazipiti lazima nianze kutingisha mguu, nikikaa ndo balaa na ni marafiki hunishtua maana mwenyewe huwa sitambui.
 
Hii nayo ni tabia, ila ikizidi ujue ni ugonjwa....
 
Mimi huwa huwa natingisha mguu haijalishi niwe na huzuni,furaha au naumwa.Yaani nimejitaidi kuacha ila wapi baba yangu naye hivyo hivyo.
 
mimi nikiwa na stress au hasira ndo natikisa mguu haswa wa kushoto.
 
Huo ni ugonjwa,mie hata nikiwa nimelala miguu hucheza cheza hadi nitakapopitiwa na usingizi ndio inatulia. Sina muda wa kuelezea but unaweza kugoogle unaitwa "restless syndrome"
 
Back
Top Bottom