Inanitokeaga sana tu, sijawahi hata kuuliza inasababishwa na niniKama ulishawahi Ku notes kuna baadhi ya watu akiwa amekaa katulia anaanza kutingisha miguu/mapaja
Wataalamu wa mambo je hii ni Mechanism gani?
Je anayefumba na kuomba Mungu???Hiyo sijui kwa kweli, ila najua biblia inasema " afumbaye macho yake anawaza mabaya". ( ambaye amefumba macho sio lengo la usingizi)
Basi nyie mnawaza sana kusexMi nikikaa natingisha tu.... Nikikaa na ndugu zangu yunajikuta wote tunatingisha miguu