onechromosome JF-Expert Member Joined Jul 10, 2014 Posts 1,243 Reaction score 780 Aug 9, 2018 #61 Hiyo kitu ni sehemu ya maisha yangu tangu najitambua kila siku nikilala lazima na wakati baridi nabebesha miguu natingisha yote hadi nipitiwe na usingizi.
Hiyo kitu ni sehemu ya maisha yangu tangu najitambua kila siku nikilala lazima na wakati baridi nabebesha miguu natingisha yote hadi nipitiwe na usingizi.
bukoba04 JF-Expert Member Joined Dec 26, 2014 Posts 1,402 Reaction score 1,291 Aug 9, 2018 #62 hata ndama akiwa nanuonya anatikisa mkia wake, kuashiria equlibrium state yake.. vilevile hata bata hatatikisa mkia, paka na viumbe wengine..
hata ndama akiwa nanuonya anatikisa mkia wake, kuashiria equlibrium state yake.. vilevile hata bata hatatikisa mkia, paka na viumbe wengine..