hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
Habari wanajf
Kama nawewe ni miongoni basi utakuwa sio mgeni wa maswali kama
"mbona inaonekana upo serious mda wote"
Au "mbona una mawazo sana"
Sasa kuna baadhi ya watu nadhani namimi ni miongoni tunaonekana tuna sura ambazo hazina chembe ya tabasamu.
Yaani kuna mtu ukimtazama kwa haraka unaona kabisa huyu mtu huenda hajawahi cheka.
Japokuwa kuna watu wanaonekana kama wanacheka mda wote.
Kipi haswa kinachangia hali hii ya kudumu kwa baadhi ya watu