Kwanini baadhi ya watu wanaonekana kuwa serious muda wote hata kama wana furaha?

Kwanini baadhi ya watu wanaonekana kuwa serious muda wote hata kama wana furaha?

Habari wanajf

Kama nawewe ni miongoni basi utakuwa sio mgeni wa maswali kama
"mbona inaonekana upo serious mda wote"
Au "mbona una mawazo sana"
Sasa kuna baadhi ya watu nadhani namimi ni miongoni tunaonekana tuna sura ambazo hazina chembe ya tabasamu.

Yaani kuna mtu ukimtazama kwa haraka unaona kabisa huyu mtu huenda hajawahi cheka.
Japokuwa kuna watu wanaonekana kama wanacheka mda wote.

Kipi haswa kinachangia hali hii ya kudumu kwa baadhi ya watuView attachment 2757335
Huyu naye ni mtu?

Weka mfano halisi ikibidi iwe ya kiongozi wa chama cha siasa chenye nguvu
 
Inawezekana bhana... my mom ana 40+ lakini hajawahi onja kilevi chochote na yuko good tu mbona😶😶🙄
Hiyo chekelea haitakuisha... Vipi honey unae au ndo papatupapatu...?
 
Ndivyo ulivyo that's your personality,.

Naamini kuwa wewe siyo mwongeaji Sana na mfuatiliaji wa Mambo ya watu , you are on your own lane Running your race . Ndiyo maana wanakuchukulia hivyo .

It's a good thing , tumia huo mwonekano vizuri .


Unapoenda deep convos pia si ndiyo ?

Am I mistaken?
 
Back
Top Bottom