Kwanini baadhi ya watu wanaonekana kuwa serious muda wote hata kama wana furaha?

Kwanini baadhi ya watu wanaonekana kuwa serious muda wote hata kama wana furaha?

Huyu hapa anaitwa Eminem Godzilla, hajawahi kuonekana akicheka tangu amezaliwa
Screenshot_20230921-213330.png

Huyu naye ni mtu?

Weka mfano halisi ikibidi iwe ya kiongozi wa chama cha siasa chenye nguvu
 
Hua natamani niwe serious hivyo walau kwa masaa machache tu..maanake hata kwenye vikao vya watu very sensitive hua naulizwa kitu gani kinakufanya utabasamu na sijui kwanini napenda kucheka[emoji26][emoji26]
siyo kwamba ni defensive mechanism, unatumia kama silaha
 
Angekua wa kike ni mimi huyu kabisa najiona[emoji26][emoji23][emoji23]
Kabisa asee, japo jamaa nilichokuwa namkubali kumkuta amekasirika ni nadra sana, alikuwa anacheka na kila mtu tu
 
Mi kila saa naonekana mpole hata kama nimekasirika, yaani naweka sura ya kukasirika lakini watu wananiambia daah we jamaa ni mpole kinoma.

Hicho ndo kinawaponza Huwa hawajui kama nimemaind hadi Waone namtandika mtu vibao, na nikianza kupiga had nione damu ndo hasira zinaisha
 
Napenda wakaka wa hivyo😇😌
 
Back
Top Bottom