Kwanini baadhi ya watu wanaonekana kuwa serious muda wote hata kama wana furaha?

hermanthegreat

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2021
Posts
1,274
Reaction score
3,282
Habari wanajf

Kama nawewe ni miongoni basi utakuwa sio mgeni wa maswali kama
"mbona inaonekana upo serious mda wote"
Au "mbona una mawazo sana"
Sasa kuna baadhi ya watu nadhani namimi ni miongoni tunaonekana tuna sura ambazo hazina chembe ya tabasamu.

Yaani kuna mtu ukimtazama kwa haraka unaona kabisa huyu mtu huenda hajawahi cheka.
Japokuwa kuna watu wanaonekana kama wanacheka mda wote.

Kipi haswa kinachangia hali hii ya kudumu kwa baadhi ya watu
 
Hua natamani niwe serious hivyo walau kwa masaa machache tu..maanake hata kwenye vikao vya watu very sensitive hua naulizwa kitu gani kinakufanya utabasamu na sijui kwanini napenda kucheka😥😥
 
Hua natamani niwe serious hivyo walau kwa masaa machache tu..maanake hata kwenye vikao vya watu very sensitive hua naulizwa kitu gani kinakufanya utabasamu na sijui kwanini napenda kucheka😥😥
Anza kunywa nenda kwenye vikao ukiwa umekunywa konyagi utapenda...
Your browser is not able to display this video.
 
Ni ngumu kuelezea hisia ila itakufanya uwe wakujiamini,wenge fulani la burudani litajengeka ndani yako halafu akili itakuchaji chap chap!.. kikubwa zingatia kiasi pombe sio chai
Sawasawa,, nikikua mkubwa ntafanya hivyo saizi naona imeshindikana 🙊🙊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…