dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Uzi Ni swal hvyo haihitajiki mambo mengiUzi tyr
Hata sasa tunaweza kuungana. Kwani kuna shida?Ukitazama ramanj vzr ya tanganyika utaona kabsa kuwa Rwanda na Burundi imo ndai ya tanganyika kbsa lkn ajabu Ni nchi zinazo jiitegemeaa
Sasa kwani mwalimu hakuona haja tuwe taifa moja badlaa yake tumekuwa na Zanzibar ambao wako mbali na sis
Niko hayo kwa leo safarini kuelekea rwanda kwa wakwe
Hakuwa na akili na alikuwa mchawi.Ukitazama ramanj vzr ya tanganyika utaona kabsa kuwa Rwanda na Burundi imo ndai ya tanganyika kbsa lkn ajabu Ni nchi zinazo jiitegemeaa
Sasa kwani mwalimu hakuona haja tuwe taifa moja badlaa yake tumekuwa na Zanzibar ambao wako mbali na sis
Niko hayo kwa leo safarini kuelekea rwanda kwa wakwe
Forojo Ganze ana watoto ambao bado wapo hai? Natamani kuwafahamuHakuwa na akili na alikuwa mchawi.
Asingekuwa mchawi Leo Forojo Ganze asingejulikana.
Ni kujuze mwaka 1884 -1885 wakati wanatugawa waligawa kote ila zanzibar ilonekana sio nchi .sababu waliona ni sehemu ya tanganyika.Ukitazama ramanj vzr ya tanganyika utaona kabsa kuwa Rwanda na Burundi imo ndai ya tanganyika kbsa lkn ajabu Ni nchi zinazo jiitegemeaa
Sasa kwani mwalimu hakuona haja tuwe taifa moja badlaa yake tumekuwa na Zanzibar ambao wako mbali na sis
Niko hayo kwa leo safarini kuelekea rwanda kwa wakwe
Wachawi wenzako, hamkutani kilingeni?Forojo Ganze ana watoto ambao bado wapo hai? Natamani kuwafahamu
Unayo hoja ya msingi. Wengine watakuelewa kesho
Kama wewe ungelikuwa ni NYERERE hakika ungeungana na RWANDA, UGANDA na BURUNDI kisha wangekushawishi ufanye annexation ya EASTERN CONGO. Baada ya hapo ungejenga nao BWAWA KUBWA LA KUZALISHA UMEME INGA HEP lipo EASTERN CONGO ambalo kama litajengwa litakuwa the LARGEST OF ALL na viwanda vikubwa vya SARUJI maana eneo hilo lina LIME STONE ya kutosha. Achilia madininya kimkakati na eneo lenyewe ni la kimkakati lina rasilimali za kimkakati nyingi, lipo kati kati ya AFRICA lina hali nzuri ya kusapoti kilimo.Nyerere alikosea sana kutuunganisha na wahuni (Zanzibar).ni Bora tungeungana na Uganda,Rwanda au Burundi na tungefaidika sana kuliko Hawa wahuni ambao chao ni chao na Cha Tanganyika ni Cha wote
Namshanga sna huyu mzee badla ya kutungaanisha na watusti unakwenda kutungaanisha na miarabu
Forojo Ganze ana watoto ambao bado wapo hai? Natamani kuwafahamu
Bas kagame awe rais wetu yaaniHata sasa tunaweza kuungana. Kwani kuna shida?
Watusi na wahutu Ni watu hatari SanaUkitazama ramanj vzr ya tanganyika utaona kabsa kuwa Rwanda na Burundi imo ndai ya tanganyika kbsa lkn ajabu Ni nchi zinazo jiitegemeaa
Sasa kwani mwalimu hakuona haja tuwe taifa moja badlaa yake tumekuwa na Zanzibar ambao wako mbali na sis
Niko hayo kwa leo safarini kuelekea rwanda kwa wakwe