Kwanini Baba Nyerere hakutunganisha na Rwanda na Burundi badal yake akatuunganisha na Zanzibar

Wazo na maamuzi ya kuiunganisha Tanganyika na Zanzibar hayakuwa ya Nyerere, Nyerere alitumika tu kama kikaragosi cha kutimiza matakwa ya mabwana wakubwa.
 
Wazo na maamuzi ya kuiunganisha Tanganyika na Zanzibar hayakuwa ya Nyerere, Nyerere alitumika tu kama kikaragosi cha na mabwana wakubwa.
Hee HV unasema Kweli hivi wazo la muungano siyo la Nyerere Tena ? Je Ni la kina Nani ambao walimsimamia Nyerere kufanya muungano huo
 
Kb
Tunavyolia lia kuhusu utapel wa mapenzi ,tungeunganishwa na hizi chuma tungejiua nchi nzima kisa mapenzi.
Kbsaa yaani leo ningezama Rwanda kumuopa mnyatwanda mwezangu piga miti
 
Uzi mzuri mkuu sema kuna makosa mengi sana ya kimaandishi .
 
Wazo na maamuzi ya kuiunganisha Tanganyika na Zanzibar hayakuwa ya Nyerere, Nyerere alitumika tu kama kikaragosi cha kutimiza matakwa ya mabwana wakubwa.
Anyway shikamoo bib sijakuona Muda Sana HV Bado unalo Hilo darsa lako la faiza na pia una account Twitter ? !Kama unayo naomba nikufollow
 
Hee HV unasema Kweli hivi wazo la muungano siyo la Nyerere Tena ? Je Ni la kina Nani ambao walimsimamia Nyerere kufanya muungano huo
Jisomee, kama Kingereza hakipandi mwambie AI akusaidie kutafsiri:

Unajua matusi gani alitukanwa alipowasilisha wazo hilo kwa viongozi wa Rwanda na Burundi wakati huo?
 
Watusi na wahutu Ni watu hatari Sana

Mfano muhutu Ni mkatili na asiye na huruma 😡 kukuua ama kuchinja MTU Ni easy..

Mtusi Ni dicteta na wabinafsi Sana na Wana nationalism ya kitusi (Kama waislaeli weusi vili)
Tabia ya mtu hufinyangwa na makuzi na mazingira. Hata wewe ungekuzwa kwenye mazingira ya kikatili ingekuwa mkatili.

Watusi na Wahutu ni watu wema. Nchi zao zingekuwa sehemu ya Tanzania hayo yasliyotokea kwenye nchi zao yasingetokea.
 
Rwanda na Burundi zilikuwa ni sehemu ya Tanganyika na sarafu ilikuwa moja, hata jimbo la Mozambique la Cabo Delgado lilikuwa Tanganyika.

Baada ya Ujerumani kushindwa vita ndio Mreno akachukuwa Cabo Delgado na Wabelgium wakachukuwa Rwanda na Burundi.
 
Kumbe Rwanda na Burundi ni sehemu ya nchi yetu!

Itatokea kuungana nao tena ili tuwe na nchi kubwa iitwayo Tanganyika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…