Kwanini Babeli na sio ISS?

Sawa, kwanini walijenga mnara na sio kufanya hizo shughuli zao mahali pa Kawaida tu?
 
Hao si wanasoma Bible kama wanasoma Umbea wa mange...Hamna kitu wanaelewa
 
Hilo sio jambo dogo la kueleza kwa maandishi mafupi, pia nilifanya tafiti kwa muda wangu na wewe kama unataka kujua fanya tafiti kwa muda wako
Kwa hiyo nikienda huko na kupata majibu yangu yasiyofanana na wewe ndiyo itakuwa imeishia hapo?Ukianzisha jambo lilete hapa.Ningetaka niende huko nisingekuwepo hapa.
 
Kama hiki ndiyo kiwango cha KUFIKIRI, basi itatuchukua miaka 10000 kuwa na vijana wenye fikra chanya. Anyway, Biblia haijaandikwa kama gazeti mkuu. Rudia kuusoma tena habari za Babeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ