Kwanini Babeli na sio ISS?

Kwanini Babeli na sio ISS?

Baber(AKKADIAN).
kila Aina ya Matambiko yalifanyika hapo ili kufungua geti la mbinguni.
ulozi/ushirikina wa Kiwango cha juu vilifanywa hapo.
so,matambiko hayo yangelitimia uenda finaly wangeliweza kuingia mbiguni.na Mungu kuona hivyo akawachafulia lugha mapema Kabla hawajafikia lengo.
ndiyo maana ilo eneo(akkadian)linaitwa geti la mbinguni.
Sawa, kwanini walijenga mnara na sio kufanya hizo shughuli zao mahali pa Kawaida tu?
 
This is myopic and I will answer myopically. Ule mnara haukuwa na maana ya urefu wa kwenda juu Bali ilikuwa ni madhabahu ya malango ya kufikia mbingu ambayo Mungu anaishi.

So mfalme Nebkadneza kwa msaada wa wanefili alifuniliwa Siri mahali pa kuujenga huo mnara kama madhabahu na rituals za kufanya ili apate kuifikia mbingu ambayo waliamini Mungu anaishi.
Hao si wanasoma Bible kama wanasoma Umbea wa mange...Hamna kitu wanaelewa
 
Hilo sio jambo dogo la kueleza kwa maandishi mafupi, pia nilifanya tafiti kwa muda wangu na wewe kama unataka kujua fanya tafiti kwa muda wako
Kwa hiyo nikienda huko na kupata majibu yangu yasiyofanana na wewe ndiyo itakuwa imeishia hapo?Ukianzisha jambo lilete hapa.Ningetaka niende huko nisingekuwepo hapa.
 
Kama hiki ndiyo kiwango cha KUFIKIRI, basi itatuchukua miaka 10000 kuwa na vijana wenye fikra chanya. Anyway, Biblia haijaandikwa kama gazeti mkuu. Rudia kuusoma tena habari za Babeli.
 
Back
Top Bottom