Kwanini Babeli na sio ISS?

Kwanini Babeli na sio ISS?

Habari mdau, fikiri kuhusu hili...

Mungu alikasirika walipo jenga mnara wa Babeli, kwa lengo la kufikia mbinguni.

View attachment 3048030

Jiulize, je kwa sasa hana tatizo na international space station?

View attachment 3048031

Kama Mungu alizuia jaribio la watu kufika mbinguni, inamaana kwa sasa hawezi kuzuia?

Perhaps, space is fake.....
Lengo la kujenga mnara wa Babeli ni sawa na lengo la kujenga ISS?

Wapi uliwahi sikia ISS inahangaika na hata kumtaja Mungu?
 
Habari mdau, fikiri kuhusu hili...

Mungu alikasirika walipo jenga mnara wa Babeli, kwa lengo la kufikia mbinguni.

View attachment 3048030

Jiulize, je kwa sasa hana tatizo na international space station?

View attachment 3048031

Kama Mungu alizuia jaribio la watu kufika mbinguni, inamaana kwa sasa hawezi kuzuia?

Perhaps, space is fake.....
Kilichojengwa Kwa macho ya kimwili lilikua ni jengo lakini kwa jicho la kiroho walikua wanatoa sacrifice za kutumia uchawi ili kuzifikia mbingu. Hapo ndipo jamii za siri zilipoanzia. Uchawi pia ulianziwa hapo.
 
Sahihi kabisa, mambo mengi machafu yalianzia hapo, lakini hilo jengo lengo lake lilikuwa kujaribu kufikia mbingu. Japo haiwezekani lakini walifanya pasipo kujua kwamba Mungu hapendi na atawaadhibu
 
Kilele chake kitafika mbinguni
Mwanzo 1:20 Mungu akasema, Maji na yajawe kwa wingi na kitu kiendacho chenye uhai, na ndege waruke juu ya nchi katika anga la mbingu.

Mbingu unaweza kumaanisha Anga hewa au Makao ya ya roho. Anga kwa maneno mengine ni mbingu. So maneno hayo yanamaanisha Kilele chake kitafika Angani.
 
Screenshot_20240721-175826.png

Mbingu ni mfano wa hema au bakuli kubwa iliyo funika ardhi yote na vilivyomo
 
Basi baki na biblia yako. So Yesu aliposema yeye ndie chakula cha uzima, means ili tusife tumchinje Yesu tumchome mishkaki then tule sindio?
Hapana, sio kumla mwili au kunywa damu yake, ila ni kuishi maneno yake na kufuata mafundisho yake Bwana.
 
Hoja za kitoto
Kama ni hoja za kitoto mbona unashindwa kujibu?
usiwe unanishirikisha we bwana mdogo.
Unahangaika sana kumuongelea huyo Mungu kwa vile hajawahi kuwepo na hayupo kujiongelea mwenyewe.

Kama huyo Mungu yupo aje hapa mwenyewe ajidhihirishe mwenyewe yupo na ajiongelee yeye kama yeye.

Ninyi mnahangaika kuongelea kitu ambacho hakipo na hakijawahi kuwepo kujitetea chenyewe.

Automatically taarifa zenu ni za uongo.
 
Kama ni hoja za kitoto mbona unashindwa kujibu?

Unahangaika sana kumuongelea huyo Mungu kwa vile hajawahi kuwepo na hayupo kujiongelea mwenyewe.

Kama huyo Mungu yupo aje hapa mwenyewe ajidhihirishe mwenyewe yupo na ajiongelee yeye kama yeye.

Ninyi mnahangaika kuongelea kitu ambacho hakipo na hakijawahi kuwepo kujitetea chenyewe.

Automatically taarifa zenu ni za uongo.
πŸ—‘πŸ—‘πŸ—‘πŸ—‘
 
Back
Top Bottom