Watu wote wanaweza kukubaliana kwa jambo moja?Wakikubaliana wote inakuja.
ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.
2Nyakati 7:14
Unaweza kuomba CCM ikabadilika?Wao sio chama cha maombi, ni chama cha siasa. Waje na kitu bora ambacho kama mbadala wa hiki tunachokiona.
Pia sio lazima mbadala wa CCM iwe chadema. Inaweza pia kuwa CCM iliyobadilika au Mungu akafumua wote wawili akaleta kitu kipya.
Maombi hubadili hadi tawala.Unaweza kuomba CCM ikabadilika?
Ukiacha story za kwenye biblia ni tawala gani iliwahi kubadilishwa kwa maombi?Maombi hubadili hadi tawala.
Kama kwa kufanya hivyo kusudi flani la Mungu litatimia.
Ninawi walikubaliana wote, kuanzia mfalme. Inawezekana kama litakuwepo jambo linalowafanya wakubaliane.Watu wote wanaweza kukubaliana kwa jambo moja?
Unaweza kuomba watu wote wakubaliane?
Hujui hata unasimamia kitu gani, kwani hapa Tanzania unaposema kuna amani tumekubaliana wote?Wakikubaliana wote inakuja.
ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.
2Nyakati 7:14
Za kwenye biblia sio storyUkiacha story za kwenye biblia ni tawala gani iliwahi kubadilishwa kwa maombi?
Msingi wa Nyumba unabakinkuwa msingi tu ule ule, haijalishi miaka mingapi itapita.Mkuu mbona unaleta historia ya miaka 4000 iliyopita weka shuhuda za current yrs ili kuwahamisha watu kuwa maombi ni kila kitu
Uko sahihi.Maombi na kazi/vitendo. Usije ukajidanganya ukaomba uvushwe kutoka point A kwenda B, halafu wewe umekaa haujishuhulishi ukadhani hapo ulipokaa utajikuta upo pointi B.
Better learning the subject matter first then come spit your understanding.Maombi hayatengenezi SGR
Yes.Tanzania tunaweza kuomba umaskini ukaisha?
Hiyo niliyokupa ni kanuni. Ukitaka amani mahala ambapo haipo sio tu nch8 hata familia maombi ya pamoja wote mkikubaliana inakuja.Hujui hata unasimamia kitu gani, kwani hapa Tanzania unaposema kuna amani tumekubaliana wote?
Hakuna linaloshindikana kwa Mungu. Halipo.😂😂😂atakwambia NDIO
Wasikuumize kichwaKuna wanaobeza thread hii ya maombi msichanganye mambo ya ulimwengu wa roho na ulimwengu wa mwili chanzo cha mambo mengi ni ulimwengu wa roho tatzo wengi hamna elimu na haya mambo
Uko sahihi.Maombi huenda na vitendo. Bila kuwa na ari ya kutaka kukamilisha jambo huwezi toboa.
Yani ni sawa na uwe na software bila kuwa na hardwares. Huwezi kufanikisha chochote.
Maombi + vitendo = Matokeo
Yanaweza.Maombi yanaweza kumrudisha Ben Saanane??
Sio anaachilia kwa nchi ambazo HAZIMTAMBUI, ukweli ni kwamba maombi hayaleti amani, wewe unasoma maandiko ya kale huko, lakini uhalisia wa sasa unakataa, HAKUNA nchi duniani kwasasa watu wanakubaliana wote HAKUNAHiyo niliyokupa ni kanuni. Ukitaka amani mahala ambapo haipo sio tu nch8 hata familia maombi ya pamoja wote mkikubaliana inakuja.
Zipo exceptions. Ndio maana Mungu anaachilia amani hata kwa nchi ambazo hazimtambui kwa makusudi yake yeye kama Mungu. Ila hili halibatilishi kanuni hapo juu.
Sure. They dont mean on what they pray for.. and also dont pray while believing.Neno la MWENYEZI MUNGU ni upanga waefeseo6:17
Shida ya vijana wa leo wametanguliza mzaha sana na kufuata mkumbo
Alafu wanataka waombe kwa siku moja na kufanikiwa
Unaleta maandiko ambayo hukuwepo, rudi sasa kwenye dunia ya sasa watu wana amani hata huyo Mungu mwenyewe hawamjui,nchi zina maendeleo hata huyo Mungu wako hawamjuiHakuna linaloshindikana kwa Mungu. Halipo.
Jeremiah 32:26,27
"Tazama mimi ni Bwana, Mungu wa wote wenye mwili, Je kuna jambo lolote nisiloliweza?"
Hao chadema kama watautafuta utakatifu, wakaamua kumtegemea Mungu kwa moyo wote pasipo kujichanganya, wakamlilia Mungu juu ya uasi na madhira ya ccm juu ya watanzania, Mungu atasikia toka Mbinguni na ataiondoa Ccm madarakani.
"ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, wakinyenyekesha na kuomba na kuutafuta uso wangu na kuziacha njia zao mbaya, mimi Mungu, nitasikia toka Mbinguni na kuwatoa katika tabubyao"
Sio kila kitu lazima uelewe , akili tunatofautiana, mtoa mada kaelewa na kajibu, wewe kuto kuelewa sio jambo bayaBetter learning the subject matter first then come spit your understanding.
Bila hivyo, you will look foolish