Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Watu wote wanaweza kukubaliana kwa jambo moja?Wakikubaliana wote inakuja.
ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.
2Nyakati 7:14
Unaweza kuomba watu wote wakubaliane?