Kwanini bado usipuuze Maombi?

Kwanini bado usipuuze Maombi?

Hata Agano la kale linathibitisha kuwa Bawabu ndio alikuwa kama mlinzi wa mlango, huyu Bawabu ni binadamu, kwahiyo tuko pale pale, binadamu ndio alikuwa analinda na kuangalia mali za Mungu hapo hekaluni/kanisani, hakuna cha maombi lazima binadamu asimamie mambo yake
Exactly, umekuja napopataka. Na hawa watu walilinda mpaka sanduku la agano ambalo ndio hasa lilimuwakilisha Mungu na mtu akiligusa tu anapigwa na kufa ila bado watu walilinfa. So sio kitu cha ajabu. Ni masuala ya utaratibu tu
 
sasa kama sanduki la Mungu linalindwa na watu wewe unatakiwa utafakari sana hapa, kitu kinacho muwakilisha Mungu bado kinalindwa binadamu halafu unataka kutuaminisha sisi maombi yanaweza itoa ccm braza kuna shida mahali
 
Ndio zipo siri na siri ndio utajiri, hakuna ulazima iwe maombi inaweza kuwa anauza madawa ya kulevya, anaweza kuwa akili nyingi kichwani, anaweza kuwa kakopa benki mtaji n.k
Sasa katika hizo siri sasa, Mungu au miungu (nguvu za giza) ni moja wapo.

Sijui nawezaje kukuaminisha kuwa nimeshhudia week iliopita kichaa kabisaa ninayemjua kwa macho yangu for more that 9 years sasa, nimeshuhudia akiponywa kwa maombi??

Tatizo haya mambo hayatambulikani kwa jinsi ya akili za kibinadamu. Ndio maana tunaambiwa
NENO LA MUNGU KWAO WANAOPOTEA NI UPUMBAVU LAKINI KWETU SISI TUNAOOKOLEWA NI NGUVU
 
Una safari ndefu ya kujua mambo yalivyo, kama mpaka leo una amini kichaa anaweza pona kwa maombi
 
sasa kama sanduki la Mungu linalindwa na watu wewe unatakiwa utafakari sana hapa, kitu kinacho muwakilisha Mungu bado kinalindwa binadamu halafu unataka kutuaminisha sisi maombi yanaweza itoa ccm braza kuna shida mahali
My point is, Licha ya Nguvu na uweza wa Mungu alionao, bado anapenda watu waishi kwa kufuata utaratibu anaoelekeza.
Ndio maana , leo hii hata wewe hapo ulipo, unaweza ukaamua kuyaondoa maisha yako sasa hivi kwa kunywa sumu au ukaamua uendelee kuishi kwakutumia ufahamu kwamba kuna mambo ni ya kufuata utaratibu tu. Na bado haiondoi ukwel kuwa still Mungu yupo
 
Una safari ndefu ya kujua mambo yalivyo, kama mpaka leo una amini kichaa anaweza pona kwa maombi
Sio naamini, NIMEONA KWA MACHO YANGU.
na hilo ni dogo sana.
Nakupa na hili,
Kaka yake aliyenifuata kuzaliwa tumbo moja ALIPONA TOKA KATIKA HALI YA U KIZIWI. by my eyees...

Nikupe nyingine??

Na kwel nakubaliana na wewe kuwa bado nina safar ndefu sana ya kumjua na kushangaa matendo makuu ya ajab ya huyu Mungu
 
My point is, Licha ya Nguvu na uweza wa Mungu alionao, bado anapenda watu waishi kwa kufuata utaratibu anaoelekeza.
Ndio maana , leo hii hata wewe hapo ulipo, unaweza ukaamua kuyaondoa maisha yako sasa hivi kwa kunywa sumu au ukaamua uendelee kuishi kwakutumia ufahamu kwamba kuna mambo ni ya kufuata utaratibu tu. Na bado haiondoi ukwel kuwa still Mungu yupo
Hakuna aliekataa Mungu, ila nyie mnampa Mungu kazi ambazo sio zake, mfano mdogo Sanduki lake mwenyewe Mungu kawapa binadamu walinde, halafu wewe badala ya kupambana unaomba vita iishe kwa maombi hapa ndio shida ilipo 😂😂
 
Sio naamini, NIMEONA KWA MACHO YANGU.
na hilo ni dogo sana.
Nakupa na hili,
Kaka yake aliyenifuata kuzaliwa tumbo moja ALIPONA TOKA KATIKA HALI YA U KIZIWI. by my eyees...

Nikupe nyingine??

Na kwel nakubaliana na wewe kuwa bado nina safar ndefu sana ya kumjua na kushangaa matendo makuu ya ajab ya huyu Mungu
Viziwi wamezagaa mitaani na makanisani, na waona na mimi , wako kama walivyo
 
Hakuna aliekataa Mungu, ila nyie mnampa Mungu kazi ambazo sio zake, mfano mdogo Sanduki lake mwenyewe Mungu kawapa binadamu walinde, halafu wewe badala ya kupambana unaomba vita iishe kwa maombi hapa ndio shida ilipo 😂😂
TUlipotoka nimejibu suala hili. Kuomba Mungu, hufungua mlango wa Mungu wa kukupa maelekezo juu ya nini ufanye. So baada ya maombi kuna kutekeleza maelekezo kwa uaminifu.
 
Sure. They dont mean on what they pray for.. and also dont pray while believing.
Kwa maana aombaye hupokea na atafutaye huona.

Mbaya zaid ni kwamba watu wengi sasa hivi suala la utakatifu na kuishi maisha ya kumpendeza Mungu imekua sio kipaumbele kwao.

Mungu anasema wazi. "Tazama, mkono wangu si mfupi hata ushindwe kuokoa wala sikio langu si zito hata nishindwe kusikia. Bali maovu yenu yamewafarikisha ninyi na Mungu hata ameficha uso wake msiouone wala sikio lake asisikie.
Isaya 59:1......
 
Back
Top Bottom