Right Way In Light
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 1,322
- 3,461
Exactly, umekuja napopataka. Na hawa watu walilinda mpaka sanduku la agano ambalo ndio hasa lilimuwakilisha Mungu na mtu akiligusa tu anapigwa na kufa ila bado watu walilinfa. So sio kitu cha ajabu. Ni masuala ya utaratibu tuHata Agano la kale linathibitisha kuwa Bawabu ndio alikuwa kama mlinzi wa mlango, huyu Bawabu ni binadamu, kwahiyo tuko pale pale, binadamu ndio alikuwa analinda na kuangalia mali za Mungu hapo hekaluni/kanisani, hakuna cha maombi lazima binadamu asimamie mambo yake