SIPENDI SIASA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 791
- 1,199
Kwanini mkuu wangu??..Hivi vyombo vya moto vyenye matairi mawili au matatu vina utata sana
pikipiki za matairi manne nazo pia hazina 'number plates' mbeleHivi vyombo vya moto vyenye matairi mawili au matatu vina utata sana
Unaongelea passo na vitz?pikipiki za matairi manne nazo pia hazina 'number plates' mbele
Ipo kisheria Ukisajili pikipiki unapata plate number 1 ukiachana na urahisi wa kuona ukitazama straight ni nyuma kuliko mbele ila hiyo imewekwa kwa sababu mbiliMambo vp wadau wa JF.
Ninaomba kuelimishwa kwa maana elimu haina mwisho.
I'm just asking this out of curiosity (Curiosity once killed the π cat)
Je, ni takwa la kisheria au ni uamuzi tu wa watu wachache kwa maana Magari, Bajaj na Pikipiki vyote ni vyombo vya moto..
~ SIPENDI SIASA ~
Zamani pikipiki zilikua na plate number kwenye bampa (mudguard) ya mbele.Mambo vp wadau wa JF.
Ninaomba kuelimishwa kwa maana elimu haina mwisho.
I'm just asking this out of curiosity (Curiosity once killed the π cat)
Je, ni takwa la kisheria au ni uamuzi tu wa watu wachache kwa maana Magari, Bajaj na Pikipiki vyote ni vyombo vya moto..
~ SIPENDI SIASA ~
Then what happened sir??..Zamani pikipiki zilikua na plate number kwenye bampa (mudguard) ya mbele.
View attachment 3195333View attachment 3195334
Ninazungumzia Pikipiki za Tanzania..By the way vyuma kama hivi mbona afrika changamoto kuviona hata used?
View attachment 3195363
Hivyo naturally siyo vyombo vya usafiri ndo maana havina plate number kwa mbele. Ila sababu ya umaskini Africa vinabeba abiria sababu ya nauli ndogo na vinapenya hata penye njia nyembamba. Nchi zilizoendelea huwezi kukuta takataka hizo zinabeba abiria. Watu hutumia kubebea mizingo mashambani.Mambo vp wadau wa JF.
Ninaomba kuelimishwa kwa maana elimu haina mwisho.
I'm just asking this out of curiosity (Curiosity once killed the π cat)
Je, ni takwa la kisheria au ni uamuzi tu wa watu wachache kwa maana Magari, Bajaj na Pikipiki vyote ni vyombo vya moto..
~ SIPENDI SIASA ~
Una hoja usikilizwe.Hivyo naturally siyo vyombo vya usafiri ndo maana havina plate number kwa mbele. Ila sababu ya umaskini Africa vinabeba abiria sababu ya nauli ndogo na vinapenya hata penye njia nyembamba. Nchi zilizoendelea huwezi kukuta takataka hizo zinabeba abiria. Watu hutumia kubebea mizingo mashambani.
Anaeona siko sawa atoe nayeye maoni yake.
hizo ni gari, naongelea pikipikiUnaongelea passo na vitz?
Lakini hii sio bongo mkuu..Zamani pikipiki zilikua na plate number kwenye bampa (mudguard) ya mbele.
View attachment 3195333View attachment 3195334
Zinapaswa kuwa nazoMambo vp wadau wa JF.
Ninaomba kuelimishwa kwa maana elimu haina mwisho.
I'm just asking this out of curiosity (Curiosity once killed the π cat)
Je, ni takwa la kisheria au ni uamuzi tu wa watu wachache kwa maana Magari, Bajaj na Pikipiki vyote ni vyombo vya moto..
~ SIPENDI SIASA ~
Wataalam wamefafanua hapo juu mkuu..Zinapaswa kuwa nazo
Zilikuwepo Bongo, nimeweka hiyo kama reference ya namna zilivyokua.Lakini hii sio bongo mkuu..
Design factors...zilianza kuja Guard za plastic hizi hazina plate number holder hivyo huwezi fit plate number...na kwakua sheria ya kwamba plate number iwepo mbele kwenye pikipiki haipo specifically kwaajili ya pikipiki...no one really cares. Na hamna legal consequences za kutokua nayo hivyo na manufacturers hawajaona haya yakudesign holder tena.Then what happened sir??..
Okay thanks kwa ufafanuzi mwanana..Design factors...zilianza kuja Guard za plastic hizi hazina plate number holder hivyo huwezi fit plate number...na kwakua sheria ya kwamba plate number iwepo mbele kwenye pikipiki haipo specifically kwaajili ya pikipiki...no one really cares. Na hamna legal consequences za kutokua nayo hivyo na manufacturers hawajaona haya yakudesign holder tena.