Kwanini Bajaj na Pikipiki hazina "number plates" kwa mbele kama magari? I'm just asking out of curiosity

SIPENDI SIASA

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2024
Posts
791
Reaction score
1,199
Mambo vp wadau wa JF.

Ninaomba kuelimishwa kwa maana elimu haina mwisho.

I'm just asking this out of curiosity (Curiosity once killed the 🐈 cat)

Je, ni takwa la kisheria au ni uamuzi tu wa watu wachache kwa maana Magari, Bajaj na Pikipiki vyote ni vyombo vya moto..

~ SIPENDI SIASA ~
 
Ipo kisheria Ukisajili pikipiki unapata plate number 1 ukiachana na urahisi wa kuona ukitazama straight ni nyuma kuliko mbele ila hiyo imewekwa kwa sababu mbili

1:kupunguza ukinzani wa upepo(wind resistance)

2:usalama zamani zilikuwa zinatolewa mbili unakuta dereva akipata ajali ndio inakuwa chanzo cha kuongeza majeraha kwa kumkata dereva pia kukiwa na mvua maji yanagonga pale chembechembe zinakurukia usoni
 
Mambo vp wadau wa JF.

Ninaomba kuelimishwa kwa maana elimu haina mwisho.

I'm just asking this out of curiosity (Curiosity once killed the 🐈 cat)

Je, ni takwa la kisheria au ni uamuzi tu wa watu wachache kwa maana Magari, Bajaj na Pikipiki vyote ni vyombo vya moto..

~ SIPENDI SIASA ~
Zamani pikipiki zilikua na plate number kwenye bampa (mudguard) ya mbele.
1000068009.jpg
1000068008.jpg
 
Toka mwaka 2001 kwa nchi nyingi dunia cause ya installation ziliacha kutengeneza front plate numbers,
Na plate number nyingi zilitakiwa zisomwe kwa mbele na si side kama ilivyokuwa ikiwekwa, hii nikutokana na ukuaji wa technology, haswa vitu kama speed cameras.
Na piki piki nyingi kufit plate number ni shughuli pale mbele hivo walicut cost kutengeneza plate number za mbele.
Na pia mwendo wa chombo inakua tatizo sana. Hizi ndizo sababu nilizowahi pata kwenye mada kama hii ubelgiji kule kwa lisu
 
Mambo vp wadau wa JF.

Ninaomba kuelimishwa kwa maana elimu haina mwisho.

I'm just asking this out of curiosity (Curiosity once killed the 🐈 cat)

Je, ni takwa la kisheria au ni uamuzi tu wa watu wachache kwa maana Magari, Bajaj na Pikipiki vyote ni vyombo vya moto..

~ SIPENDI SIASA ~
Hivyo naturally siyo vyombo vya usafiri ndo maana havina plate number kwa mbele. Ila sababu ya umaskini Africa vinabeba abiria sababu ya nauli ndogo na vinapenya hata penye njia nyembamba. Nchi zilizoendelea huwezi kukuta takataka hizo zinabeba abiria. Watu hutumia kubebea mizingo mashambani.

Anaeona siko sawa atoe nayeye maoni yake.
 
Una hoja usikilizwe.
 
Mambo vp wadau wa JF.

Ninaomba kuelimishwa kwa maana elimu haina mwisho.

I'm just asking this out of curiosity (Curiosity once killed the 🐈 cat)

Je, ni takwa la kisheria au ni uamuzi tu wa watu wachache kwa maana Magari, Bajaj na Pikipiki vyote ni vyombo vya moto..

~ SIPENDI SIASA ~
Zinapaswa kuwa nazo
 
Then what happened sir??..
Design factors...zilianza kuja Guard za plastic hizi hazina plate number holder hivyo huwezi fit plate number...na kwakua sheria ya kwamba plate number iwepo mbele kwenye pikipiki haipo specifically kwaajili ya pikipiki...no one really cares. Na hamna legal consequences za kutokua nayo hivyo na manufacturers hawajaona haya yakudesign holder tena.
 
Okay thanks kwa ufafanuzi mwanana..
 
Back
Top Bottom